OsPele MbapPele (@chinja25) 's Twitter Profile
OsPele MbapPele

@chinja25

Entertainment, Soccer and Technology

ID: 182139160

calendar_today23-08-2010 22:51:57

52,52K Tweet

1,1K Followers

718 Following

OsPele MbapPele (@chinja25) 's Twitter Profile Photo

Hivi ni kwa nini miaka yote Mpanda hawajawa na Meli? Kigoma wana Meli Sumbawanga wana Meli Mbeya wana Meli Songea wana Meli And the list goes on Mpanda wao walikua na shida gani?

OsPele MbapPele (@chinja25) 's Twitter Profile Photo

The Young Prince has spoken Mpaka utakapokutana na mademu wanaokutakia "fyucha nzuri" ndio utajua hujui Kuna demu anaiba Michele, sukari na unga kwao alafu anapelekea mwana anayejitafuta Sema hawa malaika ni limited edition Wewe endelea kula wadangaji mdogo wangu

OsPele MbapPele (@chinja25) 's Twitter Profile Photo

Kama wenye akili wanavyokuangalia pale Crown Wanaona kabisa wana nafasi zao pale Ally Kiba na Salim Kikeke wakiacha kukumbatia vilaza kama wewe na Hans Watapata watu wenye akili pale Crown

OsPele MbapPele (@chinja25) 's Twitter Profile Photo

Unamchezesha Fey Toto namba 2 kweli? Ona leo anawaumbua Tayari ana hat trick huko Madrid 3-0 City Fey Toto scored 3 goals