There’s a fine line between self-care and self-indulgence.
- Paying off your debt is self-care.
- Skipping dessert is self-care.
- Turning down invitations is self-care.
What’s best for us usually isn’t pleasant, sexy or Instagrammable.
Matter is not how to find your purpose is how to make your purpose find you - the only way to make your purpose find you is the moment that you believe that no matter what you're doing you're living your purpose.
#Code, haya ma Polo tukitoa matuta rodi, basi ujanja wao ndo unaishia hapo. Ila sasa kama mmeongozana nalo halafu kuna tuta mbili ama tatu mbele ngoja kwanza nicheke😂😂🙌
Nikuambie Masta, "Kama chuma lako halina mapafu, basi huo ndo utakuwa mwisho wa kuliona" utakuta linaoshwa.
Hakuna kitu nachukia kama hizi ajali- Poleni sana wafiwa na Marehemu walale mahali pema peponi- Hivi hapo same shida ni nini ? Mamlaka tafasali ongezeni maarifa kupambana na ajali hapa nchini
Zijue sababu tano za kujiuzulu kwa Balozi Humphrey Polepole:
1. Mwenendo wa CCM kukiuka misingi hasa kipindi hichi cha kuelekea uchaguzi.
Imekuwepo kauli ya CCM isemayo “Chama kwanza mtu baadaye”, mwanzoni mwa mwaka huu, alipoona kauli hii inafanyika vinginevyo, amejiuliza mara