Chepeochepe💪 (@chepeochepe) 's Twitter Profile
Chepeochepe💪

@chepeochepe

ID: 1305506660451000323

calendar_today14-09-2020 14:00:36

1,1K Tweet

82 Followers

562 Following

Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

Karibuni katika SHOW ZA TL. 1.Leo patakuwa na uamuzi mdogo kutoka kwa Jopo la Majaji kuhusu pingamizi (Objection) lililowekwa na Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu juu ya Shahidi kutoa ushahidi wake akiwa katika kibox (kizimba) kilichozibwa bila majaji Kumuona Shahidi,bila

Karibuni katika SHOW ZA TL.

1.Leo patakuwa na uamuzi mdogo kutoka kwa Jopo la Majaji kuhusu pingamizi (Objection) lililowekwa na Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu juu ya Shahidi kutoa ushahidi wake akiwa katika kibox (kizimba) kilichozibwa bila majaji Kumuona Shahidi,bila
Joseph Mrungu (@mrunguj9) 's Twitter Profile Photo

Nadhani huyu ndo binadamu wa pili mwenye IQ kubwa duniani kwa sasa. Wa kwanza ni Elon Musk na wapili ni Tundu Antiphas Lissu Ana uwezo wa ajabu wa kufikiria ndani ya sekunde. Unaweza kumpa kurasa 20, akazipitia kwa dakika 5 akatoka na hoja 50. Siyo binadamu wa kawaida...

Nadhani huyu ndo binadamu wa pili mwenye IQ kubwa duniani kwa sasa. Wa kwanza ni <a href="/elonmusk/">Elon Musk</a> na wapili ni <a href="/TunduALissu/">Tundu Antiphas Lissu</a>
Ana uwezo wa ajabu wa kufikiria ndani ya sekunde. Unaweza kumpa kurasa 20, akazipitia kwa dakika 5 akatoka na hoja 50.

Siyo binadamu wa kawaida...
Remmy Reuben (@remmy_reub84179) 's Twitter Profile Photo

Mimi Huwa sipendi kushinda na mke wangu, yaani hata kama siku hiyo Sina mchongo wa kazi Bora niende nikazulule kwa washikaji tu! Maana nikishinda nae siku Huwa haiishagi hapajachangamka 😂😂😂😂.

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Ogopa mtu unaetamani AWE JELA na akose raha kwa kuona unamtesa afu kutwa anatabasamu na KUSHUGULIKA vilivyo na VIBAKA unaowatuma kama mashahidi. Huyu ndie SIMBA raisi wa WATANGANYIKA na watu wapenda HAKI. Nikutie nguvu tuu wewe upo JELA ila DIKTETA JIKE NAE YUPO JELA KIZIMKAZI.

Ogopa mtu unaetamani AWE JELA na akose raha kwa kuona unamtesa afu kutwa anatabasamu na KUSHUGULIKA vilivyo na VIBAKA unaowatuma kama mashahidi.

Huyu ndie SIMBA raisi wa WATANGANYIKA na watu wapenda HAKI. Nikutie nguvu tuu wewe upo JELA ila DIKTETA JIKE NAE YUPO JELA  KIZIMKAZI.
(---) Onesmo Mushi (@edutalktz) 's Twitter Profile Photo

Mtukufu mama Samia Suluhu , umemsahau kijana wako? Watu wanasema hawamsaidii huyu jamaa kwa sababu alikuwa mstari wa mbele kusifu na kuabudu matendo makuu ya mama. Angalau tambua “juhudi” zake kwa kugharamia matibabu yake, baswa baada ya kumponza.

Mtukufu mama <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> , umemsahau kijana wako? 

Watu wanasema hawamsaidii huyu jamaa kwa sababu alikuwa mstari wa mbele kusifu na kuabudu matendo makuu ya mama. 

Angalau tambua “juhudi” zake kwa kugharamia matibabu yake, baswa baada ya kumponza.
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Hii studio niliyopost LEO iliwahi kugharimu MAISHA YANGU miaka mitatu nyuma kwa KUTEKWA. Sikiliza KWA MAKINI MKASA—Mimi naziishi ndoto zangu tuu.🙏🏾 #tutakuwepo🫵🏻😎

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Nikiwa nafanya mazoezi asubuhi huwaga naweka “TIKTOK” video zile zinapoteza muda vizuri sana. Leo nimekutana na VIDEO moja ya DUDE yule jamaa wa zamani aliekuwa anaigiza kama TAPELI zamani analalamika. MALALAMIKO yake ni dhidi ya jamaa mmoja maarufu sana kwasasa na nakumbuka

Nikiwa nafanya mazoezi asubuhi huwaga naweka “TIKTOK” video zile zinapoteza muda vizuri sana.

Leo nimekutana na VIDEO moja ya DUDE yule jamaa wa zamani aliekuwa anaigiza kama TAPELI zamani analalamika.

MALALAMIKO yake ni dhidi ya jamaa mmoja maarufu sana kwasasa na nakumbuka