charzdebadtz (@charzdemakana) 's Twitter Profile
charzdebadtz

@charzdemakana

musician/band
youtube . Charzde bad,
from Tanzania dar es salaam.

ID: 1264661309779517444

calendar_today24-05-2020 20:55:41

20 Tweet

8 Followers

318 Following

charzdebadtz (@charzdemakana) 's Twitter Profile Photo

Vita vya music nivikubwa pia nivyepesi endapo tutaujenga umoja tutashinda kesi ,. @charzdebadtz Chege @ Dar es Salaam, Tanzania instagram.com/p/COWW0v7BKlZ/…

Jebra Kambole (@advocate_jebra) 's Twitter Profile Photo

Court ya Malawi wamefuta adhabu ya kunyonga mpaka kufa! Wanaamini anayenyonga naye ni muuaji, uhai ni wa Mungu, tumuache aliyetupa auchukue! Adhabu inakiuka haki ya kuishi! Ukimnyonga haumpi fursa ya kujirekebisha Ukimnyonga na kugundua baadae ulikosea huwezi rudisha uhai

Court ya Malawi wamefuta adhabu ya kunyonga mpaka kufa! Wanaamini anayenyonga naye ni muuaji, 

uhai ni wa Mungu, tumuache aliyetupa auchukue! 

Adhabu inakiuka haki ya kuishi! 

Ukimnyonga haumpi fursa ya kujirekebisha

Ukimnyonga na kugundua baadae ulikosea huwezi rudisha uhai