Jebra Kambole (@advocate_jebra) 's Twitter Profile
Jebra Kambole

@advocate_jebra

Law Guards Advocates, Criminal, Corporate and Civil Litigation lawyer. Togo Tower, kinondoni Business Only Call +255748334032

ID: 2890375486

linkhttp://www.lawguards.co.tz calendar_today24-11-2014 06:35:13

17,17K Tweet

349,349K Takipçi

301 Takip Edilen

Jebra Kambole (@advocate_jebra) 's Twitter Profile Photo

Court ya Malawi wamefuta adhabu ya kunyonga mpaka kufa! Wanaamini anayenyonga naye ni muuaji, uhai ni wa Mungu, tumuache aliyetupa auchukue! Adhabu inakiuka haki ya kuishi! Ukimnyonga haumpi fursa ya kujirekebisha Ukimnyonga na kugundua baadae ulikosea huwezi rudisha uhai

Court ya Malawi wamefuta adhabu ya kunyonga mpaka kufa! Wanaamini anayenyonga naye ni muuaji, 

uhai ni wa Mungu, tumuache aliyetupa auchukue! 

Adhabu inakiuka haki ya kuishi! 

Ukimnyonga haumpi fursa ya kujirekebisha

Ukimnyonga na kugundua baadae ulikosea huwezi rudisha uhai