Changan_Tanzania (@changan_tz) 's Twitter Profile
Changan_Tanzania

@changan_tz

The Official Changan Tanzania X Channel

ID: 1762415846008274944

calendar_today27-02-2024 09:54:43

74 Tweet

9 Followers

6 Following

Changan_Tanzania (@changan_tz) 's Twitter Profile Photo

Je, ni gari gani litajaa mafuta kwanza? Ipi kati ya Hunter, Alsvin, Star 5 Minivan, na Star 5 Minitruck itakuwa ya kwanza kujaa mafuta? Tuambie kwenye comments... #ChanganCars #Changantanzania #SafariBilaMipaka #ChanganHunter

Je, ni gari gani litajaa mafuta kwanza? Ipi kati ya Hunter, Alsvin, Star 5 Minivan, na Star 5 Minitruck itakuwa ya kwanza kujaa mafuta?
Tuambie kwenye comments...

#ChanganCars #Changantanzania #SafariBilaMipaka #ChanganHunter
Changan_Tanzania (@changan_tz) 's Twitter Profile Photo

Changan Hunter – Kwa mwenye nguvu, ujasiri, na upendo wa maisha ya kipekee. Hunter ni chaguo la wale wanaothubutu, wanapenda changamoto, na wanaishi kwa kasi. Ikiwa wewe ni mtu mwenye msimamo, Hunter ni gari lako! Pata ufadhili wa 75% ili upate gari lako leo!

Changan_Tanzania (@changan_tz) 's Twitter Profile Photo

Changan Alsvin – Kwa mwenye mtindo, busara, na upendeleo wa kipekee. Alsvin ni chaguo la wale wanaothamini ubora, faraja, na matumizi bora ya nishati. Ikiwa wewe ni mtu anayejiamini na anayependa vitu bora, Alsvin ni gari lako! Pata ufadhili wa 75% ili upate gari lako leo!

Changan Alsvin – Kwa mwenye mtindo, busara, na upendeleo wa kipekee. Alsvin ni chaguo la wale wanaothamini ubora, faraja, na matumizi bora ya nishati. Ikiwa wewe ni mtu anayejiamini na anayependa vitu bora, Alsvin ni gari lako!
Pata ufadhili wa 75% ili upate gari lako leo!
Changan_Tanzania (@changan_tz) 's Twitter Profile Photo

Star 5 Minivan – Nafasi kubwa na ustadi wa kuhamasisha safari za familia na biashara. Pata ufadhili 75% sasa! 📍 AFED Business Park, Nyerere Road 📞 +255 760 760 602 #Star5Minivan #ChumaKimeingia #SafariBilaMipaka

Star 5 Minivan – Nafasi kubwa na ustadi wa kuhamasisha safari za familia na biashara. Pata ufadhili 75% sasa!
📍 AFED Business Park, Nyerere Road
📞 +255 760 760 602
#Star5Minivan #ChumaKimeingia #SafariBilaMipaka
Changan_Tanzania (@changan_tz) 's Twitter Profile Photo

Star 5 Minivan – Imebeba nafasi kubwa na uwezo wa kubeba familia au biashara yako bila kikwazo. Chukua sasa kwa ufadhili hadi 75%! 📍 AFED Business Park, Nyerere Road 📞 +255 760 760 602 #Star5Minivan #SafariBilaMipaka #ChumaKimeingia

Star 5 Minivan – Imebeba nafasi kubwa na uwezo wa kubeba familia au biashara yako bila kikwazo. Chukua sasa kwa ufadhili hadi 75%!
📍 AFED Business Park, Nyerere Road
📞 +255 760 760 602
#Star5Minivan #SafariBilaMipaka #ChumaKimeingia
Changan_Tanzania (@changan_tz) 's Twitter Profile Photo

Star 5 Minitruck – Imejengwa kwa ajili ya kazi nzito na usafirishaji wa mizigo. Pata ufadhili 75% kupitia EFTA. 📍 AFED Business Park, Nyerere Road 📞 +255 760 760 602 #Star5Minitruck #ChumaKimeingia #SafariBilaMipaka

Changan_Tanzania (@changan_tz) 's Twitter Profile Photo

Alsvin – Ndani ni sehemu ya kifahari! Viti vya kisasa, nafasi ya kutosha, na teknolojia ya hali ya juu kwa safari zisizo na kikomo. Usafiri wa kipekee, ndani na nje! Pata ufadhili wa 75% ili upate gari lako leo! 📍 AFED Business Park, Nyerere Road 📞 +255 760 760 602 #Changan

Changan_Tanzania (@changan_tz) 's Twitter Profile Photo

Changan Star 5 Minivan – Kwa hustler anayejiamini, mwenye malengo, na anayeishi kwa kasi. Star 5 ni chaguo la wale wanaohitaji nafasi, ufanisi, na nguvu kwa biashara zao. Ikiwa wewe ni mtu anayeleta mabadiliko na kuendesha mafanikio, Minivan hii inafaa kwa safari yako!

Minivan ya Changan ni mshirika wa kweli – inabeba mizigo na nafasi ya kutosha kwa dereva na Kondacta wake. Kupitia EFTA, unaweza kumiliki kwa urahisi kwa 75% financing – jengabiashara yako. Piga simu +255 760 760 602 kwa maelezo zaidi. #ChumaKimeingia #ChanganMinivan

Minivan ya Changan ni mshirika wa kweli – inabeba mizigo na nafasi ya kutosha kwa dereva na Kondacta wake.

Kupitia EFTA, unaweza kumiliki kwa urahisi kwa 75% financing – jengabiashara yako.

Piga simu +255 760 760 602 kwa maelezo zaidi.

#ChumaKimeingia #ChanganMinivan
Changan_Tanzania (@changan_tz) 's Twitter Profile Photo

Alsvin – gari la mjini lenye mwonekano wa kisasa, linapendeza barabarani na linasimama kwa hadhi. Tembelea showroom yetu: AFED Business Park, Nyerere Road au piga simu +255 760 760 602 kwa maelezo zaidi. #ChumaKimeingia #ChanganAlsvin #SmartDrive #InchcapeTanzania

Alsvin – gari la mjini lenye mwonekano wa kisasa, linapendeza barabarani na linasimama kwa hadhi.

Tembelea showroom yetu: AFED Business Park, Nyerere Road au piga simu +255 760 760 602 kwa maelezo zaidi.
 
#ChumaKimeingia #ChanganAlsvin #SmartDrive #InchcapeTanzania