Britanicca (@britanicca5) 's Twitter Profile
Britanicca

@britanicca5

A Whistle-blowe who lives in Russia, Nationality:Tanzanian/Residence: (Vlad)Russia

ID: 1327192112530673665

calendar_today13-11-2020 10:10:54

143 Tweet

1,1K Followers

79 Following

Britanicca (@britanicca5) 's Twitter Profile Photo

Kama ni kijana mwenye malengo usithibutu, Kuoa mwanamke mwenye mtoto, mwanamke alolelewa na upande mmoja wa mzazi yaan MAMA tu. Usithibutu katu kuoa au kuchumbia mwanamke ambaye ana dada zake wamezalishwa hawakuolewa, Thank me later,

Britanicca (@britanicca5) 's Twitter Profile Photo

Nakazia hakuna mtu anayependa mzazi wake atangulie mbele ya haki au aachane na mzazi wake wa jinsia nyingine, ILA UKWELI NI KWAMBA KUMCHUMBIA MWANAMKE ALIYELELEWA NA UPANDE MMOJA WA MZAZI AU MAMA AMA KWA KUACHANA NA BABA YAO AU KWA KIFO ITAKUSUMBUA MAISHANI. utanishukuru baadae

Britanicca (@britanicca5) 's Twitter Profile Photo

Mwaka 2021 na matukio yake 1.Pigo ndani ya CCM wataondokewa na wanayehisi ni nguzo muhim 2.Umoja wa mataifa utakaza 3.Mfumko wa bei utaongezeka sukari itafika 4000 unga 2300/ kg, 4.Mafuta yatapanda bei hadi 2300 kwa lita 5.Eneo la Afrika Mashariki kuna dictator maarufu ata R.I.P

Britanicca (@britanicca5) 's Twitter Profile Photo

Kuna Mbunge alinilalamikia mwaka 2019 July kwamba kuna mpango wa kulazimisha iwepo MV Chato na ilikuwa imepangwa iwepo kabla ya July 2020, nashangaa wameweka kando miradi muhim, sasa kipaumbele ni chato!

Kuna watu ma snitch sana, unawapa mchongo wanakuuza kwa serikali usiamin mtu twitter narudia usiamini yeyote utahujumishwa uchumi narudia kuwa makini ukishare taarifa zako,

Britanicca (@britanicca5) 's Twitter Profile Photo

Nimatafakari, hivi ile Movement ya Zitto MwamiRuyagwa Kabwe Kitila Mkumbo (PhD) na @samsonmwigamba ingefanikiwa Zitto akawa Mwenyekiti wa CDM mwaka 2011 , kwa sasa CHADEMA ingekuwaje, Kuna Muda Unaweza usimuelewe Freeman Mbowe kwa Muda mfupi ila baadae ukaona alicho maanisha, akamtimua Zitto