Blogs za Mikoa (@blogszamikoa) 's Twitter Profile
Blogs za Mikoa

@blogszamikoa

Pata Habari kutoka Mikoa yote Tanzania kupitia Blog Maalum ya Mkoa huo kupitia blogszamikoa.co.tz usipitwe na Taarifa zenye uhakika.

ID: 601679747

linkhttp://www.blogszamikoa.co.tz calendar_today07-06-2012 08:24:32

18,18K Tweet

897 Followers

321 Following

Ofisi ya Makamu wa Rais (@vpo_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema tafiti zinahitajika zaidi katika menejimenti ya rasilimali maji ili kuwezesha maarifa mapya na uelewa mpana kuhusu upatikanaji na ubora wa maji Makamu wa Rais amesema hayo wakati akifungua

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema tafiti zinahitajika zaidi katika menejimenti ya rasilimali maji ili kuwezesha maarifa mapya na uelewa mpana kuhusu upatikanaji na ubora wa maji

Makamu wa Rais amesema hayo wakati akifungua
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

My heartfelt thanks to Excellencies Heads of State and Government, distinguished guests, delegates, our development partners and friends, who made their way to Dar es Salaam for the Mission 300 Africa Energy Summit on the 27th and 28th of January 2025. The summit successfully

Msemaji Mkuu wa Serikali (@tzmsemajimkuu) 's Twitter Profile Photo

RAIS DKT. SAMIA AKISHIRIKI CHAKULA CHA MCHANA NA WALIOSHIRIKI ZOEZI LA UOKOAJI WA KUPOROMOKA KWA GHOROFA KARIAKOO x.com/i/broadcasts/1…

Ofisi ya Makamu wa Rais (@vpo_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Ofisi ya Makamu wa Rais imeandaa Mkakati wa Usimamizi wa Taka wa mwaka 2025-2030 ambao unalenga kuimarisha miundombinu ya usimamizi wa taka katika maeneo yote nchini.   Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassan Mitawikatika kikao

Ofisi ya Makamu wa Rais imeandaa Mkakati wa Usimamizi wa Taka wa mwaka 2025-2030 ambao unalenga kuimarisha miundombinu ya usimamizi wa taka katika maeneo yote nchini.
 
Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassan Mitawikatika kikao
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Matukio mbalimbali katika picha wakati wa halfa ya chakula cha mchana pamoja na washiriki wa zoezi la uokoaji wa ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa eneo laKariakoo iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 30 Januari,

SISI NI TANZANIA (@sisinitanzania) 's Twitter Profile Photo

Mji wa Moshi, unaojulikana kama “Mji Safi,” umebaki kuwa kivutio cha kipekee nchini Tanzania kutokana na rekodi yake ya kudumu ya usafi, mazingira ya kijani kibichi, na mandhari ya kuvutia inayochochewa na milima ya Kilimanjaro. Ufanisi wa Moshi katika kudumisha usafi umeendelea

Bunge la Tanzania (@bunge_tz) 's Twitter Profile Photo

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson ameongoza Kikao cha Nne  cha Mkutano wa Kumi na Nane wa Bunge. Katika kikao cha leo Bunge limejadili na kupitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria za Kazi wa Mwaka 2024. [The Labour Laws (Amendments) Bill, 2024].

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson ameongoza Kikao cha Nne  cha Mkutano wa Kumi na Nane wa Bunge.
Katika kikao cha leo Bunge  limejadili na kupitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria za Kazi wa Mwaka 2024. [The Labour Laws (Amendments) Bill, 2024].
Blogs za Mikoa (@blogszamikoa) 's Twitter Profile Photo

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU MWENENDO WA UGONJWA WA KIPINDUPINDU NCHINI KWA KIPINDI CHA JANUARI HADI MACHI 2018 daresalaam-yetu.blogspot.com/2018/04/taarif…

Blogs za Mikoa (@blogszamikoa) 's Twitter Profile Photo

MKUU WA MKOA GEITA AWATAKA WANANCHI KUJITOKEZA KWA WINGI KWENYE KAMPENI YA ELIMU KWA MLIPAKODI geitayetu.blogspot.com/2018/04/mkuu-w…

Blogs za Mikoa (@blogszamikoa) 's Twitter Profile Photo

NAIBU SPIKA TULIA AWAASA WATANZANIA KUILINDA NA KUITUNZA AMANI YA NCHI TAMASHA LA PASAKA MJINI DODOMA dodoma-yetu.blogspot.com/2018/04/naibu-…

Blogs za Mikoa (@blogszamikoa) 's Twitter Profile Photo

MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA MKOANI KAGERA NA KUANZA UZINDUZI WA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA ZAIDI YABILIONI 12 kagera-yetu.blogspot.com/2018/04/mwenge…

Blogs za Mikoa (@blogszamikoa) 's Twitter Profile Photo

MKUU WA MKOA GEITA AWATAKA WANANCHI KUJITOKEZA KWA WINGI KWENYE KAMPENI YA ELIMU KWA MLIPAKODI geitayetu.blogspot.com/2018/04/mkuu-w…

Blogs za Mikoa (@blogszamikoa) 's Twitter Profile Photo

Serikali Yawarejesha Kazini Watumishi wa Darasa la Saba Waliokuwa Kazini Kabla ya Mei 20, 2004. dodoma-yetu.blogspot.com/2018/04/serika…