Binti Mzuri 😍 (@bintimanchester) 's Twitter Profile
Binti Mzuri 😍

@bintimanchester

Business Girl ✨️

ID: 1312018079703019522

calendar_today02-10-2020 13:14:46

880 Tweet

411 Followers

1,1K Following

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Wewe Kailima unataka Polepole apuuzwe uaminike wewe? Yaani wewe na tume yenu ya ccm nani anaweza kuwaamini? Mnaaminika kwa lipi? Polepole kiongozi wa juu kabisa wa ccm, kikao cha Mwisho kabisa, ametoka na kusema haya.. Alichokisema Polepole hakiwezi kukanushwa na mtuhumiwa

Wewe Kailima unataka Polepole apuuzwe uaminike wewe?

Yaani wewe na tume yenu ya ccm nani anaweza kuwaamini? Mnaaminika kwa lipi?

Polepole kiongozi wa juu kabisa wa ccm, kikao cha Mwisho kabisa, ametoka na kusema haya..

Alichokisema Polepole hakiwezi kukanushwa na mtuhumiwa
Binti Mzuri 😍 (@bintimanchester) 's Twitter Profile Photo

IdiAminMama hajui cha kufanya kwenye kikao baada ya kupewa siku 10 na Gwajima, na kipigo cha Polepole juzi #KataaWahuni #noreformnoelection #tanzaniakwanza

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

"Unasikia wakati mwingine 'kura zimeibiwa' sidhani kama ni wendawazimu wanaoibua maswali ya namna hiyo, huwezi kufikiri jambo ambalo halipo." Padre Emilius Kobelo wa Jimbo Katoliki la Morogoro

Binti Mzuri 😍 (@bintimanchester) 's Twitter Profile Photo

Dini mbalimbali; Upendo, Haki Na Amani. Taifa lisilo na HAKI ni JEHANAMU. #TanzaniaKwanza #MpakaKieleweke #KataaWahuni #NoReformNoElection

Dini mbalimbali; Upendo, Haki Na Amani.
Taifa lisilo na HAKI ni JEHANAMU.
#TanzaniaKwanza
#MpakaKieleweke
#KataaWahuni
#NoReformNoElection
Binti Mzuri 😍 (@bintimanchester) 's Twitter Profile Photo

Askofu Gwajima: Nitazungumza jambo ambalo kila atakayesikia atastaajabu na hicho kitaamua tunaelekea wapi. #KataaWahuni #NoReformNoElection #TanzaniaKwanza #HakiHuinuaTaifa

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Haya kiko wapi?? Polepole hadanganyi. Afu anatumwa MAFUFU ya uyole kumjibu mtu anaeongea ishu nzito kama hizi kwa TAIFA. POLEPOLE ongea yote mpaka wapoteane mazima. TUTAKUWEPO🫡😎

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Katika hao Wananchi unaowaambia wapuuze huu uvumi mzuri kwani na mimi nimo ? Pls kama mneniweka humo,niondoeni!! Maana mimi sitampuuza Pole Pole, kwa maana mimi na chama chetu CHADEMA tunaelewa anachozungumza na ndio sababu tunataka REFORMS, namuelewa sana. Wananchi wanapaswa

Katika hao Wananchi unaowaambia wapuuze huu uvumi mzuri kwani na mimi nimo ? Pls kama mneniweka humo,niondoeni!! Maana mimi sitampuuza Pole Pole, kwa maana mimi na chama chetu CHADEMA tunaelewa anachozungumza na ndio sababu tunataka REFORMS, namuelewa sana. Wananchi wanapaswa
Lamu Rafael Lamu (@lamurafael77) 's Twitter Profile Photo

πŸ“ Wajumbe zaidi ya 11K kila jimbo tulipiga Kura za Maoni kuviwezesha vikao vya Uteuzi kujua ni nani anayekubalika jimboni,Kuna maeneo MAONI yamepuuzwa sasa kuna haja gani ya Kura za Maoni? Unateuaje waliohamia CCM kipindi cha Uchaguzi? mbele ya waliokijenga chama kwa muda mrefu

πŸ“

Wajumbe zaidi ya 11K kila jimbo tulipiga Kura za Maoni kuviwezesha vikao vya Uteuzi kujua ni nani anayekubalika jimboni,Kuna maeneo MAONI yamepuuzwa sasa kuna haja gani ya Kura za Maoni? Unateuaje waliohamia CCM kipindi cha Uchaguzi? mbele ya waliokijenga chama kwa muda mrefu
KIDUKU (@tanzaniaonejezi) 's Twitter Profile Photo

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tanzania Leaks (@tanzanialeaks) 's Twitter Profile Photo

🧡 US-Govt Senate Foreign Relations Committee Chairman has its attention on Tanzania, a country whose notoriously corrupt-leaders are raping democracy, persecuting political opponents, framing some with treason so that they remain in power. Dallas-Mayor Eric Johnson on the other hand is…

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Mvutano ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Tanga umefikia hatua ya wazi baada ya makundi ya wanachama kuandamana na kutangaza kurejesha kadi za uanachama wao, wakipinga hatua ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa kukata jina la aliyekuwa Mbunge wa

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Tarime Mjini wameandamana kwenye ofisi za Chama hicho kupinga hatua ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa kumuengua mshindi wa kura za maoni katika jimbo hilo Michael Kembaki na kumteua Esther Matiko aliyeshika nafasi ya tatu