Bernard Membe (@bernardmembe) 's Twitter Profile
Bernard Membe

@bernardmembe

Former Minister for Foreign Affairs and International Cooperation of the United Republic of Tanzania

ID: 592533949

calendar_today28-05-2012 08:23:58

1,1K Tweet

157,157K Followers

261 Following

Bernard Membe (@bernardmembe) 's Twitter Profile Photo

Jana nilialikwa na waumini wa Msikiti wa Gaddafi mkoani Dodoma, ambapo waliniita kunishukuru kutokana na jitihada zangu kwenye ujenzi (1/2)

Bernard Membe (@bernardmembe) 's Twitter Profile Photo

Tunapomtafuta mgombea atakayepeperusha bendera ya CCM tufikiri aina ya Tanzania tunayotaka kuijenga kwa manufaa ya vizazi vya leo na vijavyo

Bernard Membe (@bernardmembe) 's Twitter Profile Photo

siasa hizi ni za hovyo kwani hazitajenga Taifa letu. Naomba msihadaike na watu wanaotaka kututia doa baada ya kukosa uchafu dhidi yetu (2/2)

Bernard Membe (@bernardmembe) 's Twitter Profile Photo

Ni vema kuendeleza mema yote ya mwezi wa Ramadhan hata baada ya mfungo kumalizika. EID Mubarak waislamu na Watanzania wote kwa ujumla .