Awesu Ally (Mkubwa) (@awesially) 's Twitter Profile
Awesu Ally (Mkubwa)

@awesially

Former Jobless. Future billionaire, welcome for promotion and brand affiliate

ID: 761662379314806784

calendar_today05-08-2016 20:37:17

71,71K Tweet

13,13K Followers

9,9K Following

Awesu Ally (Mkubwa) (@awesially) 's Twitter Profile Photo

Nipo T Pakers. Kwa kweli huu sio ufunguzi mkutano wa CCM bali ni ufunguzi wa mkutano wa serikali chini ya dola. Kivuli cha demokrasia kinaitafuna nchi yetu🥲

Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Wenzetu wanafanya siasa sisi tuko mahakamani na kesi zakutosha, ipo siku tutakuwa madarakani na wao watakuwa gerezani maana jinai haiozi..

Awesu Ally (Mkubwa) (@awesially) 's Twitter Profile Photo

Nimezaliwa nikapata fahamu zangu wazee wetu wanaichukia CCM kipindi hicho nilikua sijui sababu nini hasa ila baada ya kutimia ule msemo kua uyaone nimeelewa.

Awesu Ally (Mkubwa) (@awesially) 's Twitter Profile Photo

Wanaopaswa kua gerezani kwa kesi za uhaini na utakatishaji fedha wapo wanaendelea kuibagaza nchi anayepigania nchi na kuwakaba koo mafisadi yupo gerezani kwa kesi za mchongo.