umukira (@awantaigwa) 's Twitter Profile
umukira

@awantaigwa

a freelancer

ID: 612565570

calendar_today19-06-2012 13:44:30

206 Tweet

29 Followers

272 Following

umukira (@awantaigwa) 's Twitter Profile Photo

Uwanja wa Serengeti(shamba la bibi)wilayani Tarime,waliwahi kusimama hapo wakawa maarufu hadi leo(Chacha Wangwe,Heche,Waitara,LISSU-kumbuka alioa Tarime)Kesho ni zamu ya Katibu mkuu Nchimbi,Karibu Tarime kiongozi.makamu rais ajaye.

Mimi sijasoma saana sheria,hivi video conference na open court ni ipi inaweza kufikia watu wengi Tanzania,sasa mahakama iliamua video,wewe unataka watu 10k waingie mahakamani tena na chupa za maji, Usalama wa mahakama nani anajadili humu, hypocrisy of highest nature.

umukira (@awantaigwa) 's Twitter Profile Photo

Kule Zanzibar raha sana upinzani na serikali wanashirikiana huyu ni makamu wa Rais na kiongozi kupitia ACT Wazalendo akiwa katikati ya ulinzi wa maofisa wa polisi akielekea kazini kuimarisha chama chake,mfano mzuri.

Nimesikitishwa sana jinsi baadhi ya vyombo vya habari na watu wanapotosha mjadala wa bunge la ulaya,Baada ya mjadala huo wa jana May 07,2025, Wabunge wa Ulaya wataandaa na kupiga kura juu ya azimio maalum lenye rejea 2025/2690 (RSP) leo May 8, 2025 ni kiingereza AU?

umukira (@awantaigwa) 's Twitter Profile Photo

Hii X bwana,tukubali tukatae inatumika kuumiza sana maslahi na maisha ya baadhi ya watu,la kufanya hatuna,kuna watu wanadhalilishwa humu sana,dawa tujichunge,ukiwa kiongozi au m'siasa jaribu kusoma upepo,humu punba zozote ni aibu hapohapo!hata uwe nani.hawaangalii So help me GOD!

umukira (@awantaigwa) 's Twitter Profile Photo

HAWA ni wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kyambogo Nchini Uganga ambao walikamatwa na kushtakiwa kwa 'mkusanyiko usio halali', na kusimamishwa chuo kikuu mara tu walipopewa dhamana. Wamekosa mitihani, na hata walipokimbilia Mahakama Kuu kupata ahueni, hawakuipata.

HAWA ni wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kyambogo Nchini Uganga ambao walikamatwa na kushtakiwa kwa 'mkusanyiko usio halali', na kusimamishwa chuo kikuu mara tu walipopewa dhamana.

Wamekosa mitihani, na hata walipokimbilia Mahakama Kuu kupata ahueni, hawakuipata.
umukira (@awantaigwa) 's Twitter Profile Photo

Hivi majirani zetu Kenya tuna ugomvi gani na nyie?mbona mnaruhusu maadui wa serikali ya Tanzania kuishi kwenu kuhifadhiwa na kuwezeshwa na mashirika ya nje kutaka kuangusha serikali ya SSH,Tuliwakosea nini,au ni kuchoma vifaranga wenu?

Msikubali kupotoshwa hakuna agenda leo katika bunge la ulaya kuhusu kiongozi wa upinzani nchini. Haya ndio mambo watajadili Bunge la ulaya likome kuingilia mambo ya ndani ya nchi yetu. europarl.europa.eu/news/en/agenda…

umukira (@awantaigwa) 's Twitter Profile Photo

USHAURI TUNAFAHAMU WEWE NI MTUMISHI BORA NA MZALENDO LAKINI USITUMIE UMAARUFU ULIOPATA KUPITIA CCM NA UTEUZI WA RAIS,KUSHIRIKI UCHOCHEZI WOWOTE WAKATI HUU NCHI IKIELEKEA KWENYE UCHAGUZI,YAYARI UMEANDIKA BARUA IMEJIELEZA,HAIHITAJI UFAFANUZI

USHAURI
TUNAFAHAMU WEWE NI MTUMISHI BORA NA MZALENDO LAKINI USITUMIE UMAARUFU ULIOPATA KUPITIA CCM NA UTEUZI WA RAIS,KUSHIRIKI UCHOCHEZI WOWOTE WAKATI HUU NCHI IKIELEKEA KWENYE UCHAGUZI,YAYARI UMEANDIKA BARUA IMEJIELEZA,HAIHITAJI UFAFANUZI
umukira (@awantaigwa) 's Twitter Profile Photo

Wale wanaharakati ambao tayari wamepewa hadhi ya ukimbizi nchi jirani na ulaya na kupokea mamilioni ya fedha kutoka wafadhili,tayari wao ni wakimbizi,wasituharibie nchi yetu sisi hatuna pa kukimbilia,

umukira (@awantaigwa) 's Twitter Profile Photo

UMOJA wa waandishi wa habari wa kujitegemea wa CCM (WAHAKU-CCM)wameanzisha kampeni maalum inafahamika kama "MLINDE MAMA MITANDAONI" Yenye lengo la kukabiliana na maadui wa ndani na nje ya nchi wanaotumia mitandao ya kijamii vibaya kusambaza taarifa za uchochezi na zisizo sahihi

WAZIRI wa Uhusiano wa Kimataifa na Ushirikiano wa Afrika kusini,Ronald Lamola, ametoa Salamu za rambirambi kwa aliyekuwa balozi wa nchi hiyo nchini Kenya, Mninwa Mahlangu.