π€π‘ππŽπ‘π„π— π„π‹πˆπŠπ”ππƒπ€ (@arnorexco) 's Twitter Profile
π€π‘ππŽπ‘π„π— π„π‹πˆπŠπ”ππƒπ€

@arnorexco

Economic strategist passionate about advancing Sustainable Development Goals (SDGs). Advocating for solutions that drive economic growth and sustainability.

ID: 1550391971805552641

calendar_today22-07-2022 08:07:15

8,8K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

π€π‘ππŽπ‘π„π— π„π‹πˆπŠπ”ππƒπ€ (@arnorexco) 's Twitter Profile Photo

Kenny Mmari Snr. What truly matters isn’t whether a country follows democracy or dictatorship β€” it’s the presence of good leadership that makes the difference. Using just two countries as examples isn’t a sufficient sample size to draw a definitive conclusion that democracy is inherently flawed

Tausi Likokola (@tausilikokola) 's Twitter Profile Photo

Do we ever learn? May we all dare to treat others in fairness. There’s never true achievement built in cost of lives of others. Might be temporary gains but history will note & trouble your souls. Matthew (7:12): ~In everything, do to others what you would have them do to you~

π€π‘ππŽπ‘π„π— π„π‹πˆπŠπ”ππƒπ€ (@arnorexco) 's Twitter Profile Photo

Sia Da VinciπŸ’Ž Kwo ulitaka Marekani iwe 100KπŸ˜‚πŸ˜‚ Tumia ubongo vizuri, Brother. Juzi waalimu wa shule za Msingi California walikuwa wanaandamana kuongezewa mishahara, wanalipwa Apparently 24M/Month wanataka iwe 26M/Month. Maisha ya kule ni tofauti kabisa na huku, Brother.

π€π‘ππŽπ‘π„π— π„π‹πˆπŠπ”ππƒπ€ (@arnorexco) 's Twitter Profile Photo

Sasa tunapaswa kuanza rasmi kozi ya Prompt Engineering. Watu wengi huishia kuchati na AI kwa maneno mepesi kama 'Mambo, vipi, uko poa' hawajui ubora wa jibu unategemea ubora wa prompt yako. Ujuzi wa Prompt Engineering ni msingi wa kutumia AI iwe kwa kujifunza, kazi, au ubunifu.

π€π‘ππŽπ‘π„π— π„π‹πˆπŠπ”ππƒπ€ (@arnorexco) 's Twitter Profile Photo

Π„Ζ¦Ζ‡Ζ²Ζ¦Ζ¦Ζ³ Lamborghini Urus ni SUV ya kifahari inayotengenezwa na kampuni ya Lamborghini kutoka Italia. Ina injini ya 4.0L twin-turbo V8 Inazalisha hadi 641 horsepower Kasi ya juu ni zaidi ya 305 km/h Ina uwezo wa kutoka 0 hadi 100 km/h kwa sekunde chini ya 3.6 ☺️☺️

π€π‘ππŽπ‘π„π— π„π‹πˆπŠπ”ππƒπ€ (@arnorexco) 's Twitter Profile Photo

Kwa bahati mbaya, ku save ni ngumu zaidi kuliko kutengeneza zaidi. Yaani bora uambiwe utengeneze kiasi kile ambacho unge save kuliko kusaveπŸ˜‚πŸ˜‚ Btw you can't stop spending, the only way to go up is to make more money.