Mama wewe ni nguzo ya familia, linda uhai wako kwa epuka ukatili. Usinyamaze, chukua hatua yupo wakukusikiliza
@mariestopestz1
#ukatiliwakijinsiahaukubaliki
Mkesha Mkubwa wa Kihistoria wa Kufunga na Kufungua "KUFULI MBILI" utafanyika Jumamosi katika Kanisa la Bwana Yesu kwa Mataifa Yote, Tabata Kinyerezi Madukani usipange kukosa. Mkesha utaanza na maandamano saa 12 jioni