Ambwene Jacob (@ambwenejacob) 's Twitter Profile
Ambwene Jacob

@ambwenejacob

Farmer | Entrepreneur | Digital Creator

ID: 1542464720220954624

calendar_today30-06-2022 11:07:14

249,249K Tweet

35,35K Followers

5,5K Following

Ambwene Jacob (@ambwenejacob) 's Twitter Profile Photo

Katika kipindi cha Julai 2024 hadi Februari 2025, mapato ya kodi ya forodha kupitia Bandari ya Dar es Salaam yamefikia shilingi trilioni 8.26. Hii ni ongezeko la shilingi trilioni 1.18 ikilinganishwa na shilingi trilioni 7.08 zilizokusanywa katika kipindi kama hicho mwaka wa

Ambwene Jacob (@ambwenejacob) 's Twitter Profile Photo

Gharama za uendeshaji wa Bandari ya Dar es Salaam zimepungua kutoka shilingi bilioni 975.0 hadi shilingi bilioni 685.2 kati ya Julai 2024 na Februari 2025. Hii inaashiria ufanisi mkubwa katika matumizi ya rasilimali pamoja na utekelezaji wa mageuzi ya kimfumo bandarini.

Ambwene Jacob (@ambwenejacob) 's Twitter Profile Photo

Serikali imenunua ndege saba (7) mpya kwa ATCL sita za abiria na moja ya mizigo ili kuongeza ufanisi na kuboresha huduma za usafiri wa anga. #DiraYaSamia #KaziNaUtu2025 #OktobaTunatiki #KumenogaSioMchezo #KaziNaUtuTunasongaMbele

Serikali imenunua ndege saba (7) mpya kwa ATCL  sita za abiria na moja ya mizigo ili kuongeza ufanisi na kuboresha huduma za usafiri wa anga.

#DiraYaSamia #KaziNaUtu2025  
#OktobaTunatiki #KumenogaSioMchezo  
#KaziNaUtuTunasongaMbele
Ambwene Jacob (@ambwenejacob) 's Twitter Profile Photo

Idadi ya ndege za ATCL imeongezeka kutoka 9 mwaka 2020/21 hadi 16, jambo lililopanua huduma ndani na nje ya nchi. #DiraYaSamia #KaziNaUtu2025 #OktobaTunatiki #KumenogaSioMchezo #KaziNaUtuTunasongaMbele

NM (@nataliemchl) 's Twitter Profile Photo

Katika kuboresha usafiri wa anga, Serikali ya Tanzania imechukua hatua mbalimbali ikiwemo kununua ndege mpya saba kwa Shirika la Ndege la ATCL (sita za abiria na moja ya mizigo), kuongeza idadi ya ndege kutoka 9 hadi 16, pamoja na kuliwezesha shirika hilo kiufundi na kihuduma.

cousin 420 (@420cousin) 's Twitter Profile Photo

CHADEMA wanadanganywa sana na Maria Sarungi mambo mengi waliambiwa huyu Waziri wa mambo ya nje ya Cyprus amekuja Tanzania kwa ajili ya kumtoa Lissu lupango. Inawezekana pia hawajui tofauti Kati ya Umoja wa Ulaya (EU) na Bunge la Ulaya (EU parliament) πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

CHADEMA wanadanganywa sana na Maria Sarungi mambo mengi  waliambiwa huyu Waziri wa mambo ya nje ya Cyprus amekuja Tanzania kwa ajili ya kumtoa Lissu lupango. 

Inawezekana pia hawajui tofauti Kati ya Umoja wa Ulaya (EU) na Bunge la Ulaya (EU parliament) πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile Photo

SERIKALI YA AWAMU YA SITA YAIMARISHA USIMAMIZI WA ARDHI NCHINI. Ili kuhakikisha matumizi bora ya ardhi na kupunguza migogoro, Serikali ya Awamu ya Sita imefanya maboresho ya Sera ya Taifa ya Ardhi ya mwaka 1995 ili kuendana na mahitaji ya sasa ya kijamii na kiuchumi. Lengo kuu

Ambwene Jacob (@ambwenejacob) 's Twitter Profile Photo

UTEKELEZAJI WA ILANI 2020 – 2024 KATIKA SEKTA YA ELIMU Serikali imeongeza fedha za kugharamia mpango wa elimu bila ada kutoka shilingi bilioni 312.5 mwaka 2020 hadi kufikia shilingi bilioni 796.38 mwaka 2024. #DiraYaSamia #KaziNaUtu2025 #OktobaTunatiki #KumenogaSioMchezo

Ambwene Jacob (@ambwenejacob) 's Twitter Profile Photo

MAFANIKIO YA ILANI YA CCM 2020 – 2024 KATIKA SEKTA YA ELIMU Kuimarisha miundombinu ya elimu msingi kwa kuongeza idadi ya shule za msingi kutoka 16,656 mwaka 2020 hadi 19,783 mwaka 2024. Hii itasaidia kupunguza msongamano madarasa na kuboresha ubora wa elimu. #DiraYaSamia

Ambwene Jacob (@ambwenejacob) 's Twitter Profile Photo

MAFANIKIO YA ILANI YA CCM 2020 – 2024 KATIKA SEKTA YA ELIMU Kuimarisha miundombinu ya elimu sekondari kwa kuongeza idadi ya shule za sekondari kutoka 5,001 mwaka 2020 hadi 5,926 mwaka 2024. Hii itapanua fursa za vijana kupata elimu ya sekondari kwa urahisi zaidi. #DiraYaSamia

Ambwene Jacob (@ambwenejacob) 's Twitter Profile Photo

MAFANIKIO YA ILANI YA CCM 2020 – 2024 KATIKA SEKTA YA ELIMU Ujenzi wa shule 26 za sekondari za wasichana za bweni za mikoa kwa gharama ya shilingi bilioni 106.6. Hii itaimarisha usalama na mazingira bora ya masomo kwa wasichana walioko vijijini. #DiraYaSamia #KaziNaUtu2025

Ambwene Jacob (@ambwenejacob) 's Twitter Profile Photo

MAFANIKIO YA ILANI YA CCM 2020 – 2024 KATIKA SEKTA YA ELIMU Madarasa ya shule za msingi yameongezeka kutoka 128,425 mwaka 2020 hadi madarasa 155,330 mwaka 2024. Ongezeko hili litasaidia kupunguza msongamano na kuboresha mazingira ya kujifunzia. #DiraYaSamia #KaziNaUtu2025

Ambwene Jacob (@ambwenejacob) 's Twitter Profile Photo

Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanikiwa kukamilisha ujenzi wa madaraja makubwa manane, yakiwemo Daraja la Kigongo–Busisi (Mwanza/Geita), Tanzanite (Dar es Salaam), Wami (Pwani), Ruhuhu (Ruvuma), Mpwapwa (Dodoma), na Msingi