ALPHANGA BLACK (@alphanga) 's Twitter Profile
ALPHANGA BLACK

@alphanga

CCM number one

ID: 952135393343918082

calendar_today13-01-2018 11:09:02

4,4K Tweet

2,2K Followers

2,2K Following

ALPHANGA BLACK (@alphanga) 's Twitter Profile Photo

Ingelikuwa maji yanazungumza basi yangewaambia walemwengu kuwa waoshe mioyo yao badara ya kuosha uso na mikono. Maana maneno yao ni matamu lakini midomo yao inanuka😭🙏

ALPHANGA BLACK (@alphanga) 's Twitter Profile Photo

Wajumbe wa Mkutano Mkuu Taifa kwa pamoja tumpe imani Mwenyekiti wetu Samia Suluhu kwa kumpa kura zote za ndio aendelee kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa. KAZI IENDELEE

Wajumbe wa Mkutano Mkuu Taifa kwa pamoja tumpe imani Mwenyekiti wetu <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> kwa kumpa kura zote za ndio aendelee kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa. KAZI IENDELEE
ALPHANGA BLACK (@alphanga) 's Twitter Profile Photo

Dunia bado inazunguka katika muhimili wake ni jambo la muda tu. Ok kuwa makini na maneni ya utani maana ndipo ukweli ulipojificha, maana ukweli hauna rangi nzuli uwongo unavutia kama bustani ya Eden .

ALPHANGA BLACK (@alphanga) 's Twitter Profile Photo

Dunia bado inazunguka katika muhimili wake ni jambo la muda tu. Ok kuwa makini na maneno yenye utani maana ndipo ukweli ulipojificha, tambua ukweli hauna rangi nzuli bali uwongo unavutia kama bustani ya Eden .

ALPHANGA BLACK (@alphanga) 's Twitter Profile Photo

Tena na usiteseke na usiwe mnyonge daima maana utanyongwa kweli..! Tambua wakati na bahati humfikia kila mwanadamu kwa wakati sahii wa Mungu na kwa Mungu hakuna kuchelewa wala kuwahi. kwenye biashara,kwenye uzazi au kwenye mapenzi na mengineyo kikubwa ibada bidii na uzima

Pesa imepanda bei utu umeshuka thamani ukweli unapigwa pini ili uwongo uzidi kuenea, je tumaini la kweli ni lipi ..........? #KumchabwanaNiChazoChaMaharifa

Pesa imepanda bei utu umeshuka thamani ukweli unapigwa pini ili uwongo uzidi kuenea, je tumaini la kweli ni lipi ..........? 
#KumchabwanaNiChazoChaMaharifa
ALPHANGA BLACK (@alphanga) 's Twitter Profile Photo

Inawezeka thamani yako haionekani kwakuwa nia yako njema na upendo umezidi kwao, sasa wasipo kuita usiitike, wasipo kushilikisha usishiriki, wasipo kuuliza usijibu, kama hawakushirikishi yao usiwashirikishe yako, kwenye kila jambo tazama manufaa yako kwanza #UbiNaFsiUnalipapia 🙏

ALPHANGA BLACK (@alphanga) 's Twitter Profile Photo

Siku zote akili inataka amani moyo unapenda shari. Wewe amua tenda au waza kutumia moyo uone asara yake. Tumia akili utanikumbuka, ukitumia moyo kupenda ukitumia moyo kufanya biashara, ukitumia moyo kuchagua marafiki utaishia kulia tumia akili utanikumbuka nipo pelee #cheusiDawa

ALPHANGA BLACK (@alphanga) 's Twitter Profile Photo

Maisha yamekufundisha nini mpaka sasa? Me. Maisha yalifundisha kuwa yenyewe ni kama kioo..! ukiyachekea nayenyewe yanacheka🤣 Lakini G kanifundisha nipunguze wema, maana kuomba ni fedhea. Je G ni nani? G ni Gitu dogo raini lakini neno lake moja ni zaidi ya ngumi ya Mandonga👫

ALPHANGA BLACK (@alphanga) 's Twitter Profile Photo

Mhe Yusuph Mwenda ni Tz kutoka bara aliwahi kuwa Mstahiki Meya kinondoni, diwani kata ya mikocheni sasa ni mteule wa wa Rais Zanzibar Mh Dr Hussein Ali Mwinyi kamishina wa kodi na mapato zanzibar ZRA Je? unamjua #NasoroMajidi unamjua msemaji wa ikulu zanzibar acha mapepe Muungano unalipa.

ALPHANGA BLACK (@alphanga) 's Twitter Profile Photo

Kukua sio kuwa na umri mrefu bali ni kujua cha kusema ukisemeje ,ukiseme na nani kwa namna gani na wakati gani kama hujui ,busara ni kukaa kimya🤐

ALPHANGA BLACK (@alphanga) 's Twitter Profile Photo

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Taifa Ndg Humphrey Polepole akipata maelekezo toka kwa mmoja wa wanufaika wa mradi wa Tasaf aliyefanya vizuri zaidi na kuwa mbunifu kwa kuanzisha miradi ya ufugaji wa kuku wa kienyeji, nguluwe na ujenzi wa nyumba ya kisasa.