
Road to AFCON 2027 πΉπΏπ°πͺπΊπ¬
@afcon2027
Get the latest updates and tips on how to the the best experience for AFCON 2027!
ID: 3643468582
13-09-2015 15:28:57
11 Tweet
35 Followers
7 Following




WAZIRI MKUU AKAGUA VIWANJA VITAKAVYOTUMIKA CHAN AGOSTI 2025 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa Machi 29, 2025 amefanya ukaguzi wa viwanja vitakavyotumiwa kufanyia mazoezi na timu zitakazo shiriki michuano ya CHAN Agosti 2025 na Road to AFCON 2027 πΉπΏπ°πͺπΊπ¬ kwa Ushirikiano na nchi za Kenya na Uganda.

