Aeshi Milindi (@aeshitoyot57021) 's Twitter Profile
Aeshi Milindi

@aeshitoyot57021

Expert in Geopolitical and Economic strategies, political analysts

ID: 1778375858702471168

calendar_today11-04-2024 10:56:21

458 Tweet

192 Followers

422 Following

Aeshi Milindi (@aeshitoyot57021) 's Twitter Profile Photo

Mnufaika mkubwa wa huu mgogoro na mpasuko unaoendelea ndani ya CHADEMA si CCM bali ni Bw. Zitto na ACT Wazalendo. Si mnakumbuka athari za mpasuko wa CUF

Nchi ambayo watu wake wanaamka asubuhi wanaanza kubishana kisa mpira, kwenye media kuazia asubuhi mpaka usiku ni mpira na Kamari. Hilo ni taifa la watu waliokufa.

Tukio la leo limenikumbusha 30th October 1974 pale Stade Tata Raphael mjini Kinshasa Kwenye pambano la Rumble in the jungle Mobutu Sese Seko alivyowakutanisha George Foreman na Muhammad Ali kwenye ulingo mmoja. Kuna muda watawala huwatumia watu maarufu ili kupata uungwaji mkono.

Baharia (@nguyeko_26) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ—ฃ Kuna Mtu Uku anangoja Valentine Gifts kutoka kwa babe zake 10 Tofauti na bado Serikali imekaa kimya..๐Ÿคฃ

Sabatho Nyamsenda (@sabatho7) 's Twitter Profile Photo

Nakutumia salamu za mshikamano Paul Kaheza, mwenyekiti wa Chama cha Walimu Wasio na Ajira (NON EMPLOYED TEACHERS ORG ). Wewe na vijana wenzio mnadai haki yenu ya kufanya kazi iliyolindwa na ibara ya 22 ya Katiba ya JMT. Mmekataa UCHAWA. Mnadai USAWA. Ninyi ni mashujaa!

Aeshi Milindi (@aeshitoyot57021) 's Twitter Profile Photo

Unadhani bila Dr. Ulimboka kujitoa kuwasemea madaktari wenzake unadhani maboresho ya sekta ya afya na maslahi ya watumishi wake yangetoka wapi.

Baharia (@nguyeko_26) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ—ฃ Bila Mawasiliano hakuna Mahusiano, Bila Heshima hakuna Mapenzi....., na Bila Uaminifu hakuna sababu ya kuendelea na hayo Mahusiano....โœ๏ธ

๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข (@chahali) 's Twitter Profile Photo

Matusi kwenye baadhi ya replies kwa twiti hiyo chini ya #Jasusi ni reminder kwamba "mambo ya ngoswe mwachie ngoswe mwenyewe". Tuache kujipendekeza katika yasiyotuhusu ๐Ÿ™ˆ

Abdul-Aziz Carter (@aziz_carter) 's Twitter Profile Photo

".....Hukumu ya pili ni ile ya shauri la umoja wa wamachinga wa jijj la Bombay dhidi ya shirika la Manispaa ya Bombay, ambapo mahakama kuu ya India ilitambua umachinga kama kazi inayolindwa kikatiba na kuweka utaratibu wa kutoa leseni na kuratibu sekta ya umachinga."

".....Hukumu ya pili ni ile ya shauri la umoja wa wamachinga wa  jijj la Bombay dhidi ya shirika la Manispaa ya Bombay, ambapo mahakama kuu ya India ilitambua umachinga kama kazi inayolindwa kikatiba na kuweka utaratibu wa kutoa leseni na kuratibu sekta ya umachinga."
Aeshi Milindi (@aeshitoyot57021) 's Twitter Profile Photo

Ukiutazama muungano kwa sasa utaona nyufa nyingi zisizoweza kuzibika kwa haraka, katiba ya Zanzibar 2010, muundo wa muungano, mgawanyo wa majimbo, ushuru wa forodha, muundo wa JWTZ na JKU, chuki za Utanganyika na Uzanzibar. Kimsingi inahitaji kazi ya ziada kutujenga kiwa wamoja

Kwa jinsi waislam wengi walivyokuwa wanafiki ukiwauliza kifutwe nn kwenye Quran watataka ifutwe ile aya ya "Alrijal qalamuna alaan nisaai" waweke mitano tena.

The Chanzo (@thechanzo) 's Twitter Profile Photo

Viral Tanzanian Political Podcasters Wachokonozi Arrested for Alleged Social Media Abuse Jackson Kabalo and Joseph Mrindoko, both residents of Arusha, were arrested on Friday, June 20, 2025, on charges related to cybercrime, according to Arusha police. The two have recently

Viral Tanzanian Political Podcasters Wachokonozi Arrested for Alleged Social Media Abuse

Jackson Kabalo and Joseph Mrindoko, both residents of Arusha, were  arrested on Friday, June 20, 2025, on charges related to cybercrime,  according to Arusha police.

The two have recently