prince_Samatta (@abrahsalim) 's Twitter Profile
prince_Samatta

@abrahsalim

ID: 3336399809

calendar_today20-06-2015 08:04:31

251 Tweet

336 Followers

2,2K Following

prince_Samatta (@abrahsalim) 's Twitter Profile Photo

We are all humans. We are all born free and equal. I am sharing this photo to show that it’s time for human rights. Join me and add your photo! #HumanRights75 UN Human Rights share.ohchr.org/p/pTZGmwpku?r=…

prince_Samatta (@abrahsalim) 's Twitter Profile Photo

I would like to join South Africans in mourning the loss of one of its most celebrated musical talents, Zahara, whose real name is Balelwa Mkutukana. Her contributions to the music industry earned her numerous awards and accolades, making her a beloved figure among fans and peers

Leo ni siku ya mwisho ya 2023. Toka asbh nimekuwa nautafakari sana mwaka 2023. Umekuwa mwaka wa neema sana lakini pia mwaka maumivu. Tumewapoteza ndugu zetu, Allah awajaalie Kheri. Yapo mengi mema Allah amenijaalia sana, na namuomba azidi kunifungulia kheri ndani ya 2024. AMEEN

Nimepata fursa ya kushiriki katika mkutano maalum wa wadau wa Demokrasia kujadili miswada ya sheria za uchaguzi na sheria ya vyama vya siasa.

Umekuwa wasaa mzuri kwangu kushiriki katika kutoa maoni ya Muswada wa sheria ya uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani 2023, Muswada wa Tume ya uchaguzi na Muswada wa sheria ya vyama vya siasa.

Nilipata wasaa wa kutoa heshima za mwisho aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Edward Lowasa aliyefariki tarehe 10 February. Buriani Edward Lowasa.

prince_Samatta (@abrahsalim) 's Twitter Profile Photo

Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Nia Yako njema ya kuimarisha Diplomasia na kuteua wawakilishi katika nafasi za Ubalozi kukuwakilisha. Ni wakati muafaka sasa wa kufuatalilia utendaji kazi wa Mabalozi wetu. Baadhi yao hawatekelezi majukumu ni kama wapo matembezini

prince_Samatta (@abrahsalim) 's Twitter Profile Photo

Mh. Rais Samia Suluhu pamoja na Nia Yako njema ya kuteua wawakilishi katika nafasi za Ubalozi. Ni wakati muafaka kufuatalilia utendaji kazi wa Mabalozi wetu. Baadhi hawatekelezi majukumu ni kama wapo matembezini Samia Suluhu ikulu_Tanzania Samia Suluhu ikulu_Tanzania

SABC Sport (@sabc_sport) 's Twitter Profile Photo

πŸ—£οΈ "π™Έπš 𝚠𝚊𝚜 πšœπšžπšœπš™πš’πšŒπš’πš˜πšžπšœ - 𝚠𝚎 πšŠπš›πšŽ πšπšŠπš•πš”πš’πš—πš πšπšŠπš’πš› πš™πš•πšŠπš’..." Young Africans head coach Miguel Gamondi says they were robbed following their exit from the #TotalEnergiesCAFCL. #SABCSportFootball

prince_Samatta (@abrahsalim) 's Twitter Profile Photo

It was a pleasure to be part of the parliamentary session on the presentation of the Ministry of Foreign Affairs budget. Thank you, the Parliament and Hon. Ndaisaba George for hosting us.

Pongezi nyingi Mh. Dkt. Samia kwa kazi nzuri. Pia nikupongeze kwa Nia yako ya dhati kuendelea kuweka mazingira wezeshi kwa diaspora kupitia mchakato wa Sheria ya hadhi maalum. Nikuombee tuongeze Kasi Sheria ikamilike kwa manufaa ya nchi