~BøulaH Fabinhō (@_boulah25) 's Twitter Profile
~BøulaH Fabinhō

@_boulah25

SkyIsTheLimit
SABR🤲

ID: 1604043144785428480

calendar_today17-12-2022 09:18:24

3,3K Tweet

208 Followers

538 Following

AROK (@abu_njanii) 's Twitter Profile Photo

El Shayateen El Homr(mashetani wekundu) Al Ahly SC 🇬🇧 kwa Buccaneers(maharamia) Orlando Pirates hawajawahi kuleta ubabe 2013 alikufa pia 3-0 leo kidogo kajitahidi kapata goli la kufutia machozi Patrick "Tito" Maswanganyi alikuwa kama Captain Jack Sparrow.

El Shayateen El Homr(mashetani wekundu)  <a href="/AlAhlyEnglish/">Al Ahly SC 🇬🇧</a> kwa Buccaneers(maharamia) <a href="/orlandopirates/">Orlando Pirates</a> hawajawahi kuleta ubabe 2013 alikufa pia 3-0 leo kidogo kajitahidi kapata goli la kufutia machozi
Patrick "Tito" Maswanganyi alikuwa kama Captain Jack Sparrow.
Bob Kipara (@_yourboyli4) 's Twitter Profile Photo

Please Naomba #repost yako🫂 Google Pixel 6a Tsh 450,000/= -warrantly✅️ -Top up deals and exchange✅️ -Delivery mikoa yote🛍 ☎️DM au call, whatsapp in 0621513868 📍Kariakoo, karibu na mtaa wa Aggrey na Msimbazi

Please Naomba #repost yako🫂

Google Pixel 6a
Tsh 450,000/=

-warrantly✅️
-Top up deals and exchange✅️
-Delivery mikoa yote🛍

☎️DM au call, whatsapp in 0621513868

📍Kariakoo, karibu na mtaa wa Aggrey na Msimbazi
Timmy 👀 (@timmypaul18) 's Twitter Profile Photo

Halotel_Tanzania mtandao wenu ni wa hovyo kweli kweli na Cha kushangaza ni miaka nenda Rudi hata hambadiliki. Unatumiwa txt hazifiki kwa wakati , ukipigiwa simu haupatikani Hadi urudie kupiga mara nyingi. 🚮

AROK (@abu_njanii) 's Twitter Profile Photo

SASA ITAKUWAJE?!!! Kocha mkuu wa Yanga Sead Ramovic amewaaga wachezaji wake na kesho mchezo dhidi ya Ken Gold utakuwa mchezo wa mwisho na atawaaga mashabiki Ni ghafla tu mara baada ya kupokea ofa kutoka katika moja moja kati ya vilabu kutoka katika nchi za kiarabu.

SASA ITAKUWAJE?!!!
Kocha mkuu wa Yanga Sead Ramovic amewaaga wachezaji wake na kesho mchezo dhidi ya Ken Gold utakuwa mchezo wa mwisho na atawaaga mashabiki 
Ni ghafla tu mara baada ya kupokea ofa kutoka katika moja  moja kati ya vilabu kutoka katika nchi za kiarabu.