Agronomist Frank Marwa (@frankmarwatz) 's Twitter Profile
Agronomist Frank Marwa

@frankmarwatz

Agronomist, Agricultural Consultants, Organic Farming Expert, Drip irrigation, Solar drier,AGRo inputs, Biogas system, Founder & CEO at AgroEcology Farming Ltd.

ID: 2974367277

linkhttp://marwafrank.webs.com calendar_today12-01-2015 10:07:07

1,1K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

SikilizaTogolani (@sikilizatogolan) 's Twitter Profile Photo

"Talanta yako iko wapi? Iwe kujiajiri au kuajiriwa , mafanikio yako yatategemea sana na ubora wa juhudi, nidhamu na maarifa yako na si vinginevyo." ~Togolani Mavura.

"Kuzaliwa au kusubiri kufa hakuwezi kuwa sababu ya kutosha ya wewe kuendelea kuishi. Umepewa talanta na umeitiwa wito. Kamilisha deni lako." ~ Togolani Mavura.

"Humu duniani kuna watu ni zawadi kwa wengi, kurunzi kwa wengi, daraja la kuvusha wengi kupitia kazi za mikono yao, akili zao na mioyo yao mipana zimewabeba wengi. Mtafute wako komaa naye, atakuvusha." ~Togolani Mavura.

Kanani Jason (Agriculture Specialist) (@jason_kanani) 's Twitter Profile Photo

Ulikuwa ni wakati mwema kukutana na Agronomist Agronomist Frank Marwa kutoa Kilimanjaro Permaculture Community na Edward kutoka Kilimo Sustainable Movement na huduma zao za kilimo Hai, mifumo ya kumwagilia maji na Mbolea ya Imara. Nanenane Agricultural International Expo 2024, Nzuguni Dodoma๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Wizara ya Kilimo

Ulikuwa ni wakati mwema kukutana na Agronomist <a href="/FrankMarwaTZ/">Agronomist Frank Marwa</a> kutoa <a href="/KilPermaculture/">Kilimanjaro Permaculture Community</a> na Edward kutoka <a href="/ksmorganic/">Kilimo Sustainable Movement</a> na huduma zao za kilimo  Hai, mifumo ya kumwagilia maji na Mbolea ya Imara.
Nanenane Agricultural International Expo 2024, Nzuguni Dodoma๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
 <a href="/WizaraKilimo/">Wizara ya Kilimo</a>
Swahili Agribusiness ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@haroldmafita97) 's Twitter Profile Photo

Mimi napinga kampeni ya vijana kuingia kwenye kilimo. ๐Ÿค”๐Ÿค” Sababu zangu.. 1. Kilimo Cha kisasa ni Capital intensive investment na sio Labor intensive investment. 2. Kilimo kina time Lag yaani kinahitaji mtu avumilie, vijana wananjaa za hapa na pale. 3. Tayari kilimo Cha Tz

Mimi napinga kampeni ya vijana kuingia kwenye kilimo.

๐Ÿค”๐Ÿค”

Sababu zangu..

1. Kilimo Cha kisasa ni Capital intensive investment na sio Labor intensive investment.
2. Kilimo kina time Lag yaani kinahitaji mtu avumilie, vijana wananjaa za hapa na pale.
3. Tayari kilimo Cha Tz
SikilizaTogolani (@sikilizatogolan) 's Twitter Profile Photo

"Mwenyezi Mungu mwingi wa kunusuru. Nusra yako yaweza kuambatana na shari. Waweza pewa Nusu-Shari kukukinga dhidi ya Shari-Kamili. Tusiwe wepesi wa kusahau kuwa katika shari pia iko heri." ~Togolani Mavura.

"Siri ya kuridhika katika maisha imejificha katika uwezo wetu wa kukinai na kuwa na kiasi. Kuridhika hutupa amani na utulivu wa nafsi zetu. Hatimaye amani na utulivu wa nafsi zetu hutupa furaha." ~Togolani Mavura.

"Dunia bado ina watu wengi wazuri na wema. Bahati mbaya, tunapoteza muda mwingi tukitaka kuwaelewa watu wabaya wachache waliotuzunguka na kujikuta tunachelewa kukutana na wema wengi wanaotusubiri mbeleni." ~Togolani Mavura.

"Maisha ya mwanaume yamejaa masumbuko na mitihani, mwanaume hajui 'baadaye' yake, lolote linaweza kutokea kati ya mlo mmoja na mwingine,heri likutokee likute umeshashiba. Ukikutana na chakula hata kama huna njaa kula tu maana huwezi jua kama utapata fursa ya kukutana nacho tena."