333 SQUADRON ๐
@333squadron
ID: 1853889374968000512
05-11-2024 19:57:41
2,2K Tweet
125 Followers
210 Following
Food Pleaser Stop drinking that crap. Try a homemade 100% natural soda you will thank me.
Dennis Luambano Sahihi kabisa. Membe ndio alipeleka vyelelezo wakati huo yeye akiwa afisa katika ubalozi wa Canada.
Thomas J. Kibwana Inna Lillah Wainna Ilahi Rajioon alikuwa rafiki mkubwa sana mzee wangu alienilea Marehemu Dr Hashim sundays kama hajamfata Laiboni basi Dr Kitene atakuja Masaki.
333 SQUADRON ๐ Joseph Matalu Ms Bee๐น Kaka huu mfumo wako ni hatari sana,yaani unashambulia huku ukijilinda๐ซก
333 SQUADRON ๐ MARSELI HINDOY Nashukuru kaka. Historia hii iko wazi kabisa ni kufuatilia tu๐.
333 SQUADRON ๐ Ms Bee๐น Mzee,, Nina ushuhuda; na jamaa alikuwa akae ndani. Mke anaulizwa utaleaje watoto; akasema najua mimi, kumbe kapangwa na ndugu zake; afande akacheka! So far jamaa hakutiwa makwaya!
โ๐พ Kibakuli โข โ๐พ 333 SQUADRON ๐ โ๐พ steven โ๐พ @Borntohustle99
Trust The Process Je unatambua kuwa mpira ni passtime? Passtime kwenye maisha ni baada ya kazi. Ukiona hajakwenda basi ana akili timamu. Atimize majukumu yake ndiyo aende kwenye passtime. Ushabiki wa mpira ni gharama. Usiuendekeze gharama ikawa maendeleo yako na ya uzao wako! Time waits for no man
The Survivor.โข๏ธ Tanzania Leaks Grok I was among the convoy to Blantyre that helped to reach them maizes and others supplies during the famine
Ms Bee๐น Hiyo ni njia ya asili ya kulinda mchele dhidi ya wadudu wanasababisha utando na kunuka kwani ukiwa kwenye mpunga hapo ulinzi upo ila ukikobolewa unakuwa wazi kama ya mbuzi hivyo mafuta ni ulinzi kama ganda lake hata miaka hautaharibika ni hayo
Shaffih Dauda Hivi ndiyo msemaji wa club anapaswa kuwa. Siyo kudandia hoja za watu wengine. Approvedโ
Sia Da Vinci๐ Nilibahatika kufanya kazi kwenye meli za rg Yani offshore tz na sehemu zengine meli za rg zikifika Africa hulindwa sana wazungu walikuwa wanatuambia wazi wazi kuwa ogopa sana mtu ambaye hana chakupoteza na hana uhakika na kesho yake
James Trades Hilda Newton Point hapo sio kubisha point ni kusahihisha alichoandika sio sahihi,nyie mnadhani kila muda ni kubishana bishana tuu sijui mnashida gani. atakama atakama,Atakama nijangwa hilo