Enock Mwakitabu (@emwakitabu) 's Twitter Profile
Enock Mwakitabu

@emwakitabu

ID: 1578682221564727299

calendar_today08-10-2022 09:42:44

22 Tweet

27 Followers

410 Following

Enock Mwakitabu (@emwakitabu) 's Twitter Profile Photo

#Mapato ya ndani hutokana na kodi za wananchi, ushuru, faida zitokanazo na ubinafsishaji, na ada nyinginezo. Mapato haya #Huchangia takribani 60% ya bajeti ya serikali. #VijanaMakini #BajetiShirikishi.

#Mapato ya ndani hutokana na kodi za wananchi, ushuru, faida zitokanazo na ubinafsishaji, na ada nyinginezo. Mapato haya #Huchangia takribani 60% ya bajeti ya serikali. 

#VijanaMakini #BajetiShirikishi.
Enock Mwakitabu (@emwakitabu) 's Twitter Profile Photo

AFYA: Kwa mujibu wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) imethibitisha ongezeko la Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi kwa Wasichana wenye umri wa miaka 15-24 nchini

Msichana au mvulana wote wanastahili usalama. Shuleni, nyumbani, mitaani tuseme kwa sauti kupinga ukatili. Kila mtoto ana haki ya kukua kwa amani, heshima, na bila hofu. Simama, sema, linda kwa kizazi salama na chenye matumaini.

Msichana au mvulana  wote wanastahili usalama.
Shuleni, nyumbani, mitaani  tuseme kwa sauti kupinga ukatili.
Kila mtoto ana haki ya kukua kwa amani, heshima, na bila hofu.
Simama, sema, linda  kwa kizazi salama na chenye matumaini.