tegemeo luka
@elimumorogoro
Charming
ID: 1496559493748076553
23-02-2022 18:56:47
115 Tweet
45 Followers
879 Following
Maria Sarungi Tsehai Shangazi Maisha yanaenda Kasi sana,Jamaa kipindi kile wakiwa na Deo Sanga alisema atake asitake lazima tumuongezee Muda,Leo hii Maisha yamebadilika,ukikataa kuongoza utaongozwa!
@DrOnesmoMushi1 Wizara ya Elimu Tanzania Richard Mabala Kitila Mkumbo (PhD) Binafsi kama ningepata kisemeo, ningeshauri NECTA ivunjwe, haina mantiki katika Tz ya kileo. Division 1.7 ya Mtu wa Fedha Boys tunawezaje kuilinganisha kithamani na Div 3 yetu siye wa Daraja Mbili Sc ambao kila kitu tulikuwa tunajitafutia?