Emmanul George@eg (@egeorge40195605) 's Twitter Profile
Emmanul George@eg

@egeorge40195605

ID: 913045153023238144

calendar_today27-09-2017 14:18:22

119 Tweet

22 Followers

129 Following

Emmanul George@eg (@egeorge40195605) 's Twitter Profile Photo

Mbunge wa Songea Mjini Bw #LeonidasGama Amefariki dunia Usiku wa Kuamkia Leo Asubui ktk hospital ya Peramiho Songea, Amewahi kuwa Mkuu wa wilaya ya Muheza, Nachingwea, Newala Mbeya na Ilala, na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro:

Mbunge wa Songea Mjini Bw #LeonidasGama Amefariki dunia Usiku wa Kuamkia Leo Asubui ktk hospital ya Peramiho Songea,
Amewahi kuwa Mkuu wa wilaya ya Muheza, Nachingwea, Newala Mbeya na Ilala, na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro:
Emmanul George@eg (@egeorge40195605) 's Twitter Profile Photo

Wewe Unatumika vibaya na hicho chama kutetea Mfuko wako Utapoteza CV yako kwa Upumbavu wako:: Tulia Usiwe bendera Kufuata Upepo::: x.com/laumasha/statu…

Emmanul George@eg (@egeorge40195605) 's Twitter Profile Photo

Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linamshikilia mtumishi wa mgodi wa GGM, Milembe Suleiman anayetuhumiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsi moja.