Joachimu Edes
@edes_joachimu
Tanzania young entrepreneur.
ID: 1583933859934216192
22-10-2022 21:31:28
16 Tweet
32 TakipΓ§i
236 Takip Edilen
Japo Simba Queens Tanzania hamkufanikiwa kuingia fainali ya Michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika kwa wanawake, nawapongeza na nawashukuru kwa kuandika historia baada ya kushika nafasi ya nne katika michuano hii. Naamini mtajipanga vizuri zaidi katika michuano ijayo. Kila la kheri.