EbenezerPhilip (@ebby_philip) 's Twitter Profile
EbenezerPhilip

@ebby_philip

manchester united๐Ÿšจ๐Ÿšจ

ID: 1685978874675388417

calendar_today31-07-2023 11:41:47

40 Tweet

68 Takipรงi

323 Takip Edilen

Idris (@idrissultan) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿƒ๐Ÿฝโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฝโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฝโ€โ™‚๏ธ

๐Ÿƒ๐Ÿฝโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฝโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฝโ€โ™‚๏ธ
Benjamin Fernandes ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@benji_fernandes) 's Twitter Profile Photo

Exclusive: For those in Kenya wondering why Diamond Platnumz didnโ€™t perform last night, here is why: #AlmasiPlatnamz #DiamondPlatnumz #Kenya #FURAHACITYFESTIVAL

Exquisite (@exquisite254) 's Twitter Profile Photo

Inabidi tusake sna elimu wazee simaanish hii elimu ambayo tunafundishwa darasan hii imejaa uongo mwingi sana Yaan mfumo mzma wa elimu upo kwajir ya kukudanganya na tumefanyiwa hivyo tangu tukiwa shuleni Najua umesoma kuhusu vita kuu ya kwanza ya dunia na ya pili. si ndio!

Inabidi tusake sna elimu wazee simaanish hii elimu ambayo tunafundishwa darasan hii imejaa uongo mwingi sana 

Yaan mfumo mzma wa elimu upo kwajir ya kukudanganya na tumefanyiwa hivyo tangu tukiwa shuleni

Najua umesoma kuhusu vita kuu ya kwanza ya dunia na ya pili. si ndio!
Paul Bonaventure (@phbhimself) 's Twitter Profile Photo

Lilith, mwanamke aliyesahaulika katika uumbaji wa Kwanza. Mungu aliumba dunia na ulimwengu kwa siku sita, na siku ya saba akapumzika. Miaka 1,000 duniani ni sawa na siku moja kwa Mungu (2 Petro 3:8), kwa hiyo kwa mtazamo huo, tunaweza kusema kuwa uumbaji wa dunia ulidumu kwa

Lilith, mwanamke aliyesahaulika katika uumbaji wa Kwanza.

Mungu aliumba dunia na ulimwengu kwa siku sita, na siku ya saba akapumzika.

Miaka 1,000 duniani ni sawa na siku moja kwa Mungu (2 Petro 3:8), kwa hiyo kwa mtazamo huo, tunaweza kusema kuwa uumbaji wa dunia ulidumu kwa
SINGIDA BLACK STARS SC (@singidabssc) 's Twitter Profile Photo

Beki Wa Mtibwa Oscar Masai amesema atawashtaki mnaotumia picha yake vibaya. Eti "ma mtu una jero unifosie vocha ya Halotel" ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Beki Wa Mtibwa Oscar Masai amesema atawashtaki mnaotumia picha yake vibaya.

Eti "ma mtu una jero unifosie vocha ya Halotel"
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Alikuta timu haina muunganiko mzuri, akakuta wachezaji wengi ni wapya lakini bado ametufikisha Fainali ya CAF. Respect sana kwa fundi wa Soka, Maestro Don Fadlu Davids. Retweet mpaka imfikie huko alipo Durban Afrika kusini.

Alikuta timu haina muunganiko mzuri, akakuta wachezaji wengi ni wapya lakini bado ametufikisha Fainali ya CAF. Respect sana kwa fundi wa Soka, Maestro Don Fadlu Davids. Retweet mpaka imfikie huko alipo Durban Afrika kusini.