EastAfricaTV
@eastafricatv
Official EastAfricaTV (EATV) Twitter
Email: [email protected]
ID:169557169
http://www.eatv.tv 22-07-2010 16:39:48
170,9K Tweets
1,7M Followers
7 Following
Follow People
#NBCPL : ''DK 61''
JKT Tanzania 0 - 0 Yanga SC
#EastAfricaTv #EastAfricaRadio #HainaKuchoka #Yanga #JKTTanzania #JKTYanga
#NBCPL : HalfTime
JKT Tanzania 0 - 0 Yanga SC
#EastAfricaTv #EastAfricaRadio #HainaKuchoka #Yanga #JKTTanzania #JKTYanga
#NBCPL : HalfTime
JKT Tanzania 0 - 0 Yanga SC
#EastAfricaTv #EastAfricaRadio #HainaKuchoka #Yanga #JKTTanzania #JKTYanga
#NBCPL : DK ''41''
JKT Tanzania 0 - 0 Yanga SC
#EastAfricaTv #EastAfricaRadio #HainaKuchoka #Yanga #JKTTanzania #JKTYanga
Baada ya mvua kunyesha hapo jana baadhi ya watu wameonekana wakihama mabondeni, mapema leo hii 😁😁
Video: WillSmith
#EastAfricaTv #EastAfricaRadio #HainaKuchoka #Mvua #Kijana
#MICHEZO : Kuelekea kwenye mchezo wa leo, JKT Tanzania dhidi ya Young Africans. Hiki ndiyo kikosi kitachokwenda kuanza kwenye mchezo wa leo.
#EastAfricaTv #EastAfricaRadio #HainaKuchoka #Yanga #JKTTanzania
#5Selekt : Leo katika Chemba tuambie, umewahi kuanguka au kuteleza mbele ya umati na aibu yake ilikuwaje?
Ungana na team ya Ushuani #5Selekt ya #EastAfricaTV kuanzia saa 11 jioni.
#5Selekt #EastAfricaTV #HainaKuchoka
#BURUDANI : Mama yake na msanii Country Boy anasema mwanaye Country tangu kipindi anakua, aliupenda muziki kiasi kwamba alikuwa hawezi kula bila kusikiliza wimbo au hadi aimbiwe ndio anakula.
cc @blessing_teba
#PlanetBongo #EastAfricaTV #HainaKuchoka
'Ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme wa jua mkoani Shinyanga wa MW 150 unaendelea na matarajio ni umeme huo kuanza kuzalishwa ifikapo Januari, 2025,' - Doto Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati
#MakadirioYaMapato
#Bungeni
#EastAfricaTV