EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profileg
EastAfricaRadio

@earadiofm

Official account for East Africa Radio

ID:386954529

calendar_today08-10-2011 06:27:04

179,2K Tweets

1,2M Followers

9 Following

Follow People
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Tanzania inatajwa kuwa miongoni mwa nchi chache ambazo ni rahisi uchumi wake kukua kwa kuwa unajengwa kwenye amani, umoja na mshikamano, huku jumuiya za kimataifa zikieleza kuthamini hali hiyo na kutarajia makubwa kuwa Tanzania itaendelea kuzalisha taarifa nzuri kwa Afrika na…

Tanzania inatajwa kuwa miongoni mwa nchi chache ambazo ni rahisi uchumi wake kukua kwa kuwa unajengwa kwenye amani, umoja na mshikamano, huku jumuiya za kimataifa zikieleza kuthamini hali hiyo na kutarajia makubwa kuwa Tanzania itaendelea kuzalisha taarifa nzuri kwa Afrika na…
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Watu saba wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa mkoani Morogoro baada ya magari mawili kugongana uso kwa uso katika eneo la Dakawa wilayani Mvomero.

Kamanda wa Polisi mkoani Morogoro SACP Alex Mkama amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo akisema ajali imehusisha gari…

#HABARI Watu saba wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa mkoani Morogoro baada ya magari mawili kugongana uso kwa uso katika eneo la Dakawa wilayani Mvomero. Kamanda wa Polisi mkoani Morogoro SACP Alex Mkama amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo akisema ajali imehusisha gari…
account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

'Sisi sio Record Lebel kama vile WCB na Konde Music Worldwide. Sisi tunaibua vipaji na kutoa Platform kwa watu kuonyesha vipaji vyao na kila mwaka tunagusa maisha ya watu' - Madam Rita Paulsen

#BURUDANI 'Sisi sio Record Lebel kama vile WCB na Konde Music Worldwide. Sisi tunaibua vipaji na kutoa Platform kwa watu kuonyesha vipaji vyao na kila mwaka tunagusa maisha ya watu' - Madam Rita Paulsen #PlanetBongo #MadamRitha #BongoStarSearch #BSS
account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

'Soko limebadilika na muziki umebadilika pia tupo zama za Digital ambazo numbers zinaangaliwa zaidi. Ukipata 'Views' wengi na wanao-Download wengi ndio unapata pesa zaidi'. Madam Rita Paulsen

'Soko limebadilika na muziki umebadilika pia tupo zama za Digital ambazo numbers zinaangaliwa zaidi. Ukipata 'Views' wengi na wanao-Download wengi ndio unapata pesa zaidi'. Madam Rita Paulsen #PlanetBongo #MadamRitha #BongoStarSearch #BSS
account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

'Mimi ni Mjasiriamali na ilikua ndoto yangu. Nilianza kuwa Producer sikupanga kuwa Jaji au Chief Jaji. BSS ilianza na mkoa mmoja tu Dar es Salaam ambao alishinda Jumanne Iddi'. - Madam Rita

#BURUDANI 'Mimi ni Mjasiriamali na ilikua ndoto yangu. Nilianza kuwa Producer sikupanga kuwa Jaji au Chief Jaji. BSS ilianza na mkoa mmoja tu Dar es Salaam ambao alishinda Jumanne Iddi'. - Madam Rita #PlanetBongo #MadamRitha #BongoStarSearch #BSS
account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

'Vijana wanapenda mafanikio ya haraka haraka. Watu wote waliofanikiwa duniani wamepitia kufeli na changamoto ni sehemu ya kufanikiwa'. - Madam Rita

'Vijana wanapenda mafanikio ya haraka haraka. Watu wote waliofanikiwa duniani wamepitia kufeli na changamoto ni sehemu ya kufanikiwa'. - Madam Rita #PlanetBongo #MadamRitha #BongoStarSearch #BSS
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Kocha wa Mancheser City Pep Guardiola amesema kama hawatapata ushindi dhidi ya Tottenhm Hotspurs leo usiku kwenye mchezo wa Ligi Kuu Uingereza basi hawawezi kuwa mabingwa msimu huu 2023-24.

Man City watakuwa ugenini kucheza dhidi ya Spurs, na hawajawahi kushinda mchezo…

#MICHEZO: Kocha wa Mancheser City Pep Guardiola amesema kama hawatapata ushindi dhidi ya Tottenhm Hotspurs leo usiku kwenye mchezo wa Ligi Kuu Uingereza basi hawawezi kuwa mabingwa msimu huu 2023-24. Man City watakuwa ugenini kucheza dhidi ya Spurs, na hawajawahi kushinda mchezo…
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Klabu ya Manchester United imesema kwamba msimu huu hawatakuwa na hafla ya tuzo ya mchezaji bora wa msimu na badala yake watawekeza nguvu kwenda kubeba ubingwa wa FA

Hapo awali United walipanga sherehe hizo zifanyike Mei 20 siku tano kabla ya fainali ya FA ambapo…

#MICHEZO: Klabu ya Manchester United imesema kwamba msimu huu hawatakuwa na hafla ya tuzo ya mchezaji bora wa msimu na badala yake watawekeza nguvu kwenda kubeba ubingwa wa FA Hapo awali United walipanga sherehe hizo zifanyike Mei 20 siku tano kabla ya fainali ya FA ambapo…
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Rais wa Yanga Eng. Hersi Said ametoa tafsiri ya nyota 3 zinazoonekana kwenye T-shirt za ubingwa walizovaa wachezaji, viongozi na baadhi ya mashabiki wa Yanga SC baada ya kutangazwa kuwa mabingwa wa Ligi kuu Tanzania bara 2023-24.

Hersi amesema kwenye hizo nyota 3 ni…

#MICHEZO: Rais wa Yanga Eng. Hersi Said ametoa tafsiri ya nyota 3 zinazoonekana kwenye T-shirt za ubingwa walizovaa wachezaji, viongozi na baadhi ya mashabiki wa Yanga SC baada ya kutangazwa kuwa mabingwa wa Ligi kuu Tanzania bara 2023-24. Hersi amesema kwenye hizo nyota 3 ni…
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

MICHEZO: Bado tunabishana kijiweni wapo wanaosema huyu ni Kylian Mbappé wapo wanaosema huyu si Kylian Mbappé kwa ukali wa macho yako, huyu ni yeye au si yeye?

MICHEZO: Bado tunabishana kijiweni wapo wanaosema huyu ni Kylian Mbappé wapo wanaosema huyu si Kylian Mbappé kwa ukali wa macho yako, huyu ni yeye au si yeye? #EastAfricaTv #EastAfricaRadio #HainaKuchoka #KunaKituKitatokea #Michezo
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Simba Sc ni mabingwa mara ngapi kwenye ligi kuu Tanzania bara?

Dondosha comment yako hapo chini, majibu utapata kwenye kila siku Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 11:00 jioni EATV.

#QUIZ: Simba Sc ni mabingwa mara ngapi kwenye ligi kuu Tanzania bara? Dondosha comment yako hapo chini, majibu utapata kwenye #5SELEKT kila siku Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 11:00 jioni EATV. #QUIZ #DONDOO #EastAfricaTV #HainaKuchoka
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: “Changamoto kubwa kwa hawa dada zetu ni suala la dancing style, ikichezwa singeli ndio kabisa wanacheza kwa fujo bila kuzingatia wamevaaje. Dada ukute amepewa umbo fulani ila anataka kucheza hadi anashika chini au anapanda juu ya meza, wakati harusi ni ya familia kuna…

#DADAZ: “Changamoto kubwa kwa hawa dada zetu ni suala la dancing style, ikichezwa singeli ndio kabisa wanacheza kwa fujo bila kuzingatia wamevaaje. Dada ukute amepewa umbo fulani ila anataka kucheza hadi anashika chini au anapanda juu ya meza, wakati harusi ni ya familia kuna…
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

@mc_big_chris ametaja tabia zinazofanywa na kina dada na zinakera kwenye sherehe mbalimbali, ametaja kuchelewa, Kwenda kwa ku-draw attention harusini, kucheza hovyo wakiwa wamelewa. Kuna wengine wanalewa na wanataka kumfunika Bi Harusi harusini.

Ni tabia gani nyingine inakukera…

@mc_big_chris ametaja tabia zinazofanywa na kina dada na zinakera kwenye sherehe mbalimbali, ametaja kuchelewa, Kwenda kwa ku-draw attention harusini, kucheza hovyo wakiwa wamelewa. Kuna wengine wanalewa na wanataka kumfunika Bi Harusi harusini. Ni tabia gani nyingine inakukera…
account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

Msanii The Nanay akipiga story na ya watu kufananisha muonekano wake na Mzee wa Commercial MASTA

Ni kweli unamuona AY ndani ya ?

kila siku ya J3 mpaka Alhamisi kuanzia 3:00 - 5:00 usiku.

@conniebeily…

account_circle