
Augustino Edgar Mwakipesile
@eamwakipesile
Conservation|Environmental Assessment |Futuristic|Political Geography|Farming
ID: 3396638830
31-07-2015 03:53:52
577 Tweet
533 Followers
596 Following








Kila mwaka Agosti mpaka Oktoba mioto hutokea Milima ya Livingstone.Milima haina usimamizi kabisa. Ingefaa ikawekwa chini ya Kitulo National Park au ianzishwe Livingstone Nature Forest Reserve mahsusi. Tanzania Forest Services Agency NemcTanzania Ofisi ya Makamu wa Rais








Wana Young Africans SC kesho mkapige kura. Tunawategemea sana.


