Dr Chriss_Tz (@drchriss_tz) 's Twitter Profile
Dr Chriss_Tz

@drchriss_tz

YouTuber| Podcaster| Book Lover

ID: 1367042275398848512

calendar_today03-03-2021 09:21:02

232 Tweet

273 Followers

444 Following

SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Bro sitachoka kukukumbusha hata kama nakukera Wekeza muda, nguvu na rasilimali zako zote katika kutafuta pesa Hakuna ujanja ama ufahari katika kuwa mgumu au masikini Hapa duniani masikini hana thamani yoyote Dunia inatoa heshima kwa wanaume matajiri na waliofanikiwa tu

P'site Shio (@psiteshio1) 's Twitter Profile Photo

Hauna hata mia mbovu mfukoni? Nataka uache kufanya haya mambo • Acha kuomba watu pesa • Acha kulalamikia Serikali • Acha kulalamikia huna pesa • Acha kusali Ili upate pesa, kwasababu Mbinguni hakuna pesa Jiulize una kitu gani Cha kubadilishana na pesa? Watu wakupe pesa.

abymzigua (@abyasmzigua) 's Twitter Profile Photo

— Huyu hapa, kijana ambaye aliitetemesha dunia kwa kuivua nguo mifumo ya CIA, akiwa na miaka 15 tu! — Nyaraka zote ambazo wao waliamini ni za siri na hakuna wa kuweza kuzifikia, kijana alizifunua na kuzigeuza atakavyo. — Jina lake ni KANE GAMBLE (Tamka: Ken Gembo)... Na huu ni

— Huyu hapa, kijana ambaye aliitetemesha dunia kwa kuivua nguo mifumo ya CIA, akiwa na miaka 15 tu!

— Nyaraka zote ambazo wao waliamini ni za siri na hakuna wa kuweza kuzifikia, kijana alizifunua na kuzigeuza atakavyo.

— Jina lake ni KANE GAMBLE (Tamka: Ken Gembo)...

Na huu ni
Mélch (@meetmelch) 's Twitter Profile Photo

#SomaNaMelch Ukweli Usiojua Kuhusu Mfumo wa Pesa & Mfumo wa Elimu. [Part 02 A] Nianze kwa kusema na wewe unaesoma uzi huu, ni muhanga wa mfumo wa elimu, Kama ulianza “vidudu” darasa la kwanza, sekondari etc, wewe ni muhanga, Why, How? Twende pamoja hapa,

#SomaNaMelch
 
Ukweli Usiojua Kuhusu Mfumo wa Pesa & Mfumo wa Elimu. [Part 02 A]

Nianze kwa kusema na wewe unaesoma uzi huu, ni muhanga wa mfumo wa elimu, 

Kama ulianza “vidudu” darasa la kwanza, sekondari etc, wewe ni muhanga,

Why, How?

Twende pamoja hapa,
P'site Shio (@psiteshio1) 's Twitter Profile Photo

Watu wa Arusha tunamshukuru Mungu kwa mwezi wa 11. Tutaonana mwezi wa 11 mwanzoni kwa darasa la content creation - YouTube. Kiingilio ni miguu yako tu. Pia kutakuwa na zawadi kama: • Laptops • Ring lights • Mic • Routers Kama upo Arusha na utakuja, tuma neno ARUSHA kuja

Gillsant v10 (@gillsaint) 's Twitter Profile Photo

Delete Instagram na TikTok.. Download app ya Reddit au tumia kwa web.. Ule muda ulikua unatumia Instagram na TikTok tumia Reddit kuongeza maarifa na kupata “deals”: Follow Hizi SubReddits Make Money Online ▪️BeerMoney (Deals za $ ndogo) – reddit.com/r/Beermoney/ ▪️WorkOnline