. (@dr_bashiru) 's Twitter Profile
.

@dr_bashiru

.

ID: 2619732957

calendar_today18-06-2014 10:49:59

212 Tweet

10,10K Followers

0 Following

. (@dr_bashiru) 's Twitter Profile Photo

CCM ukizungumza ukweli ambao viongozi na magenge yao hawapendi wanasema unakipasua chama. Nani anapasua chama kati ya wasaka Urais na watoto wao au wasema kweli?

. (@dr_bashiru) 's Twitter Profile Photo

Hizi ni kauli za kuzuga tu, ili kuwazubaisha mahasimu na kumuweka mtoto pendwa karibu na Rais waendelee kuusoma mchezo. Ila matokeo ya kura jana yalifikisha ujumbe mahali pake.

Hizi ni kauli za kuzuga tu, ili kuwazubaisha mahasimu na kumuweka mtoto pendwa karibu na Rais waendelee kuusoma mchezo. 
Ila matokeo ya kura jana yalifikisha ujumbe mahali pake.
. (@dr_bashiru) 's Twitter Profile Photo

Tatizo ni; -umeme -maji -gharama za maisha. Katikati ya hayo hakuna kuupiga mwingi. Lakini tunaweza kuimba anaupiga mwingi ili watoto wetu waendelee kula.

Tatizo ni;
-umeme
-maji
-gharama za maisha. 
Katikati ya hayo hakuna kuupiga mwingi. 
Lakini tunaweza kuimba anaupiga mwingi ili watoto wetu waendelee kula.
. (@dr_bashiru) 's Twitter Profile Photo

Bado natafakari mkutano mkuu wa Chama chetu ulivyotawaliwa na majungu, uongo na fitina. Wengine wakadiriki kuonesha furaha yao hadharani kwa kifo cha Mzee wetu JPM.

. (@dr_bashiru) 's Twitter Profile Photo

Bila shaka mmeshuhudia wazee wa familia chache zinazotafuna nchi walivyojipambanua kule Dodoma. Wakatangaza na maazimio ya Mama agombee 2025 ili woanekane wanampenda sana - kumbe wanapalilia malisho ya familia.

. (@dr_bashiru) 's Twitter Profile Photo

CCM imerudi kumilikiwa na watu wachache ambao ndio wanufaika wakubwa wa Rasilimali za Taifa. Kuna kazi kubwa ya kufanya kukirudisha chama kwa wananchi.

. (@dr_bashiru) 's Twitter Profile Photo

Kwa kauli yake ile ya watu wazuri hawafi, na kutaja mifano ya Jakaya na Kinana, moja kwa moja kaka yangu Yusuph Makamba alimaamisha Waliokufa, akina Mzee JPM, Mzee Mkapa, Balozi Mahiga, Balozi Kijazi, Jaji Ramadani, nk walikuwa watu wabaya. Kaka Makamba atafakari kuomba radhi.

Kwa kauli yake ile ya watu wazuri hawafi, na kutaja mifano ya Jakaya na Kinana, moja kwa moja kaka yangu Yusuph Makamba alimaamisha Waliokufa, akina Mzee JPM, Mzee Mkapa, Balozi Mahiga, Balozi Kijazi, Jaji Ramadani, nk walikuwa watu wabaya. 
Kaka Makamba atafakari kuomba radhi.
. (@dr_bashiru) 's Twitter Profile Photo

Kama Rais wangu Samia Suluhu anakubalika kwa kiwango kikubwa, kwanini wapambe wake hawataki wengine wachukue fomu ya urais 2025? Kama anakubalika woga wa kushindana unatoka wapi?

. (@dr_bashiru) 's Twitter Profile Photo

Inasikitisha baadhi ya viongozi wa CCM na serikali sasa wanaonesha hadharani kupingana na Mzee JPM na kuchafua jina lake wakati akiwa hai waliufyata mkia.Hiki kiwango cha unafiki ni kikubwa mno.

. (@dr_bashiru) 's Twitter Profile Photo

Wakati wa Mzee JMP sauti ilikuwa kubwa na mambo makubwa yalionekana. Sasa hivi tuna kelele nyingi na kinachofanyika hakionekani - pamoja na mikopo ya matrilioni.

. (@dr_bashiru) 's Twitter Profile Photo

Wana CCM wenzangu na Watanzania kwa ujumla, kwa hali ilivyo sasa, Je! mnadhani Rais Samia Suluhu ataweza kushinda 2025 kwa uchaguzi huru na wa haki?

. (@dr_bashiru) 's Twitter Profile Photo

Ukiwa na mawaziri ambao kutwa kucha wanapishana kwenye milango ya matajiri kuomba fedha na kufanya madili... Hakuna tena serikali ya wananchi.

. (@dr_bashiru) 's Twitter Profile Photo

Deni la serikali ni kubwa sana. Ndani ya mwaka mmoja tumekopa Tsh. Trilioni 30 na hakuna cha maana kinachoonekana. Gharama ya maisha imeongezeka maradufu. Na bado hiyo mikopo italipwa na kodi za wananchi.

. (@dr_bashiru) 's Twitter Profile Photo

Walitaka kumtoa Uwaziri Mkuu Ndugu yangu Kassim Majaliwa ili wamuweke mtoto wao pendwa lakini mtoto haoneshi uwezo hata kwenye masuala madogo ya wizara. Tatizo la wazee wa CCM hawawajengi vijana wao kiuongozi, wanaamini nafasi zao zina nguvu ya kuwapa vijana dola.

. (@dr_bashiru) 's Twitter Profile Photo

Hadi leo hii utoaji wa taarifa za sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 haujakamilika. Wazee ni wangapi, Watoto ni wangapi? Kata fulani ina watu wangapi? Bado haijulikani.

. (@dr_bashiru) 's Twitter Profile Photo

Serikali ni chombo cha wananchi walichokiunda ili kiwaletee maendeleo. Inapotokea chombo hiki kinakuwa mali ya familia fulani au kikundi fulani, maana ya serikali haipo tena.

. (@dr_bashiru) 's Twitter Profile Photo

Kuna watanzania hawakupenda mbinu za Mzee JPM kushinda chaguzi 2019 na 2020, lakini kwa CCM hiyo ndio mbinu pekee iliyobaki kama tunataka dola. Rais Samia akitaka kubaki na dola na wabunge wengi lazima afanye kama JPM alivyofanya 2019/20 ingawa leo wanamtukana.