Doreen Anderson (@doreenanddy) 's Twitter Profile
Doreen Anderson

@doreenanddy

Please don't report.

ID: 1962399332449345536

calendar_today01-09-2025 06:17:39

144 Tweet

0 Followers

54 Following

Doreen Anderson (@doreenanddy) 's Twitter Profile Photo

Tunakwenda kukamilisha daraja la Kavuu mita 87.5 linalounganisha halmashauri ya wilaya ya Mlele na halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe

Uzafiri wa majini na reli vinategemeana, tumeshafanya usanifu kwa ajili ya maboresho ya reli ya Kaliua - Mpanda, yenye urefu wa 210Km maboresho hayo yatapunguza muda wa usafirishaji kwa reli toka kaliua hadi Mpanda kutoka masaa saba hadi nane na kufikia masaa mawili hadi matatu.

MPANDA MJINI Ninakumbuka pia uhitaji wa Barabara ya Mpanda -Ugala- Kaliua ambayo ni muhimu sana kwa uchumi wa Mkoa wetu , niwahakikishie kuwa hii itakuwa miongoni mwa vipaumbele vyetu katika Mkoa huu.

MPANDA MJINI

Ninakumbuka pia uhitaji wa Barabara ya Mpanda -Ugala- Kaliua  ambayo ni muhimu sana  kwa uchumi wa Mkoa wetu , niwahakikishie kuwa hii  itakuwa miongoni mwa vipaumbele vyetu katika Mkoa huu.
Doreen Anderson (@doreenanddy) 's Twitter Profile Photo

Tutaendelea na sera yetu ya elimu bila malipo lakini pia tutaendelea kuweka miundombinu ya elimu katika ngazi zote, ngazi za chini hadi ngazi za vyuo. #KaziNaUtuTunasongaMbele

Tutaendelea na sera yetu ya elimu bila malipo lakini pia tutaendelea kuweka miundombinu ya elimu katika ngazi zote, ngazi za chini hadi ngazi za vyuo.
#KaziNaUtuTunasongaMbele
Doreen Anderson (@doreenanddy) 's Twitter Profile Photo

Mkitupa ridhaa, mkatuchagua tumejipanga miongoni mwa Barabara ambazo tutazifanyia kazi ni Barabara inayotoka Kibaoni ,Majimoto, Muze na Kilyamatundu. #KaziNaUtuTunasongaMbele

Mkitupa ridhaa, mkatuchagua tumejipanga miongoni mwa Barabara ambazo tutazifanyia kazi ni Barabara inayotoka Kibaoni ,Majimoto, Muze na Kilyamatundu.
#KaziNaUtuTunasongaMbele
Doreen Anderson (@doreenanddy) 's Twitter Profile Photo

Ahadi yetu kwenu ni kuwa kuanzia mwakani Januari 2026, wakazi wa Dar Es Salaam mtaona mageuzi makubwa sana kwenye utoaji wa huduma ya miundombinu ya BRT au barabara za mwendokasi.