Daniel Marco (@dmarco57088) 's Twitter Profile
Daniel Marco

@dmarco57088

ID: 1670084162303193090

calendar_today17-06-2023 15:01:42

28 Tweet

15 Followers

316 Following

Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile Photo

Ziko wapi nyakati? Wakati ambao Mwanamke hatembei nusu uchi na bado Wanaume wangejipiga vikumbo kuwa nae, kajistiri kila sehemu lakini haiba na urembo wake unaonekana dhahiri. Zipo wapi nyakati? Wakati ambao hakuna internet na Fasihi simulizi kutoka kwa Wakongwe kwenda kwa

Ziko wapi nyakati? Wakati ambao Mwanamke hatembei nusu uchi na bado Wanaume wangejipiga vikumbo kuwa nae, kajistiri kila sehemu lakini haiba na urembo wake unaonekana dhahiri.

Zipo wapi nyakati? Wakati ambao hakuna internet na Fasihi simulizi kutoka kwa Wakongwe kwenda kwa
Daniel Marco (@dmarco57088) 's Twitter Profile Photo

"Kuna haja kubwa kuhakikisha tunakuwa na baraza la vijana, hii itasaidia kuwepo na sera ambazo zitatungiwa sheria za kuwasaidia vijana kwa maendeleo ya vijana". Emmanuel Bwire Tanzania Youth Forum

Daniel Marco (@dmarco57088) 's Twitter Profile Photo

Usimamizi wa masuala ya vijana bado ni changamoto kutoka na mifumo iliyopo, Ni muhimu wadau tushirikiane kutengeneza mifumo mizuri kwa ajili ya Maendeleo ya #Vijana Tanzania Youth Forum Pact Tanzania T-MARC Tanzania Freedom House UNATanzania #TYF2023

Daniel Marco (@dmarco57088) 's Twitter Profile Photo

Tunahitaji kuwepo na uratibu bora kwenye utekelezaji na uratibu wa sera zinazohusu vijana kwenye sekta binafsi, japo tunahitaji sera inayowagusa vijana moja kwa moja.. Tanzania Youth Forum Pact Tanzania #TYFDodoma2023

Tunahitaji kuwepo na uratibu bora kwenye utekelezaji na uratibu wa sera zinazohusu vijana kwenye sekta binafsi, japo tunahitaji sera inayowagusa vijana moja kwa moja..
Tanzania Youth Forum
Pact Tanzania
#TYFDodoma2023
Daniel Marco (@dmarco57088) 's Twitter Profile Photo

Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya afya ya kijana na maendeleo yake, Afya ikiharibika inaweza kuchangia kijana akashindwa kutumia fursa zilizopo #Elimu ya Afya kwa kijana inatapaswa itolewe vya kutosha ili kutimiza malengo. Tanzania Youth Forum Pact Tanzania Salama Foundation #TYF2023

Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya afya ya kijana na maendeleo yake, Afya ikiharibika inaweza kuchangia kijana akashindwa kutumia fursa zilizopo
#Elimu ya Afya kwa kijana inatapaswa itolewe vya kutosha ili kutimiza malengo.
Tanzania Youth Forum
Pact Tanzania
Salama Foundation
#TYF2023
Daniel Marco (@dmarco57088) 's Twitter Profile Photo

Youth participation in inclusive social Development "Ni muhimu kuwepo na miundombinu bora kwa ajili ya kuwasaidia vijana kupata huduma za kiafya kama vile kuwepo kwa chumna maalumu kwa ajili ya huduma kwa vijana' Tanzania Youth Forum Pact Tanzania Salama Foundation #TYF2023

Youth participation in inclusive social Development
"Ni muhimu kuwepo na miundombinu bora kwa ajili ya kuwasaidia vijana kupata huduma za kiafya kama vile kuwepo kwa chumna maalumu kwa ajili ya huduma kwa vijana'
Tanzania Youth Forum
Pact Tanzania
Salama Foundation
#TYF2023
Daniel Marco (@dmarco57088) 's Twitter Profile Photo

Vjana wengi wanajiingiza katika mahusiano kabla ya wakat, hii ni kutokana na kupevuka mapema kw watoto kabla ya kuwa na uwezo wa kufanya maamuzi sahihi,hii inasababisha kutofikia malengo yao.Elimu ya uzazi ni muhimu kwa vijana ili wafikie malengo. Tanzania Youth Forum Pact Tanzania

Vjana wengi wanajiingiza katika mahusiano kabla ya wakat, hii ni kutokana na kupevuka mapema kw watoto kabla ya kuwa na uwezo wa kufanya maamuzi sahihi,hii inasababisha kutofikia malengo yao.Elimu ya uzazi ni muhimu kwa vijana ili wafikie malengo.
Tanzania Youth Forum
Pact Tanzania
Daniel Marco (@dmarco57088) 's Twitter Profile Photo

We had a good time withTanzania Youth Forum from 3rd to 4th, August 2023. Now is our time for us as youths to do our part also for the government to create conducive environment for us..Thanks a lot #TanzaniaYouthForum2023 #TYFDODOMA2023 @youthforum_Tz Pact Tanzania USAIDTanzania

We had a good time withTanzania Youth Forum  from 3rd to 4th, August 2023. Now is our time for us as youths to do our part also for the government to create conducive environment for us..Thanks a lot
#TanzaniaYouthForum2023
#TYFDODOMA2023
@youthforum_Tz
Pact Tanzania
USAIDTanzania