Dira ya Tanzania (@dirayatanzania) 's Twitter Profile
Dira ya Tanzania

@dirayatanzania

Shabaha yetu ni kuonesha na kujivunia mafanikio na maendeleo tunayopata chini ya uongozi thabiti wa kiongozi wetu Mh. Rais Samia Suluhu. #DirayaTanzania

ID: 1520440608221024257

linkhttp://www.dirayatanzania.com calendar_today30-04-2022 16:31:19

969 Tweet

1,1K Takipçi

3 Takip Edilen

ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora kujionea shughuli mbalimbali za kabila la Wasukuma, Kisesa Mkoani Mwanza tarehe 21 Juni, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amekaa kwenye kiti cha Kitemi mara baada ya kutembelea Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora, Kisesa Mkoani Mwanza tarehe 21 Juni, 2025.

Dira ya Tanzania (@dirayatanzania) 's Twitter Profile Photo

#TikiKwaSamia 📍Kisesa, Mwanza | 21 Juni 2025 Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Tamasha la Utamaduni la Bulabo la Kanda ya Ziwa lililofanyika katika uwanja wa Bujora. #DiraYaTanzania #KaziNaUtuTunasongaMbele

#TikiKwaSamia 

📍Kisesa,  Mwanza | 21 Juni 2025  

Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Tamasha la Utamaduni la Bulabo la Kanda ya Ziwa lililofanyika katika uwanja wa Bujora.

#DiraYaTanzania
#KaziNaUtuTunasongaMbele
Dira ya Tanzania (@dirayatanzania) 's Twitter Profile Photo

#TikiKwaSamia Chombo Safarini Mtwara kwenda Mwanza Hapa Mtaalam akielezea sababu ya Serikali kununua Boti hiyo na maelezo ya kiufundi ya Boti hiyi. #DiraYaTanzania #KaziNaUtuTunasongaMbele

Dira ya Tanzania (@dirayatanzania) 's Twitter Profile Photo

#TikiKwaSamia 𝐌𝐀𝐌𝐀 𝐀𝐍𝐀𝐖𝐀𝐉𝐀𝐋𝐈 𝐖𝐀𝐅𝐔𝐆𝐀𝐉𝐈 #DiraYaTanzania #KaziNaUtuTunasongaMbele

#TikiKwaSamia 

𝐌𝐀𝐌𝐀 𝐀𝐍𝐀𝐖𝐀𝐉𝐀𝐋𝐈 𝐖𝐀𝐅𝐔𝐆𝐀𝐉𝐈

#DiraYaTanzania 
#KaziNaUtuTunasongaMbele
Dira ya Tanzania (@dirayatanzania) 's Twitter Profile Photo

#TikiKwaSamia 𝐌𝐀𝐌𝐀 anaboresha maisha ya wafanyakazi, kuongeza motisha kazini na kuchochea ustawi wa kijamii na kiuchumi. #DiraYaTanzania #KaziNaUtuTunasongaMbele

#TikiKwaSamia

𝐌𝐀𝐌𝐀 anaboresha maisha ya wafanyakazi, kuongeza motisha kazini na kuchochea ustawi wa kijamii na kiuchumi.

#DiraYaTanzania 
#KaziNaUtuTunasongaMbele
Dira ya Tanzania (@dirayatanzania) 's Twitter Profile Photo

#TikiKwaSamia Wananchi wa Mtaa wa Iyunga na Ikuti Jijini Mbeya waishukuru Serikali kwa kuwajengea Barabara ya Lami #DiraYaTanzania #KaziNaUtuTunasongaMbele