Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile
Dira Ya Samia

@dirayasamia

Ukurasa Rasmi unaonyesha Dira ya Maendeleo Inayojumuisha Mikakati na Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita.

ID: 1489738544004403201

linkhttp://dirayasamia.or.tz calendar_today04-02-2022 23:12:30

76,76K Tweet

63,63K Takipçi

11 Takip Edilen

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Katika mwendelezo wa kampeni za Urais za Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo nimezungumza na wananchi wa Arusha Mjini, kuhusu yale tuliyofanikiwa kwa miaka minne iliyopita, na tuliyopanga kuyatekeleza kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Moja ya mafanikio makubwa tuliyopata ni

Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile Photo

Katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha tarehe 02 Oktoba 2025, Mwenyekiti wa Kamati ya iliyoandaa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2025/30, Prof. Kitila Mkumbo, akizungumza na wananchi, ameeleza hatua kubwa zilizochukuliwa na

Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile Photo

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akiendelea na mkutano wa kampeni uliofanyika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha tarehe 02 Oktoba 2025, ameeleza hatua kubwa zilizofanyika katika maboresho ya viwanja vya

Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile Photo

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Mhe. Dkt. Samia Suluhu, akiendelea na mkutano wa kampeni uliofanyika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha tarehe 02 Oktoba 2025, ameeleza mikakati ya Serikali katika kuimarisha sekta ya utalii

Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile Photo

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Mhe. Dkt. Samia Suluhu, akiendelea na kampeni katika mkutano wa hadhara uliofanyika Karatu, mkoa wa Arusha tarehe 03 Oktoba 2025. Ameeleza kuwa katika kukuza na kuendeleza sekta ya utalii hususan

Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile Photo

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Mhe. Dkt. Samia Suluhu, akiendelea na kampeni katika mkutano wa hadhara uliofanyika Karatu, mkoa wa Arusha tarehe 03 Oktoba 2025. Amesema kuwa mkoa wa Arusha ni mkoa wa kimkakati unaohitaji

Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile Photo

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Mhe. Dkt. Samia Suluhu, akiendelea na kampeni katika mkutano wa hadhara uliofanyika Karatu, mkoa wa Arusha tarehe 03 Oktoba 2025. Amebainisha kuwa Serikali ya Awamu ya Sita kupitia Ilani ya CCM

Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile Photo

ASANTE SANA ARUSHA KWA MAPOKEZI YA KIHISTORIA! 🙌 Shukrani za dhati kwa wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (Chama Cha Mapinduzi) kwa kujitokeza kwa wingi kushiriki mikutano ya kampeni ya Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Mhe.

ASANTE SANA ARUSHA KWA MAPOKEZI YA KIHISTORIA! 🙌

Shukrani za dhati kwa wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (Chama Cha Mapinduzi) kwa kujitokeza kwa wingi kushiriki mikutano ya kampeni ya Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Mhe.
Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile Photo

HODI HODI MANYARA! Leo, tarehe 03 Oktoba 2025, safari ya ushindi wa kishindo imewasili mkoani Manyara, ambapo Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Mhe. Dkt. Samia Suluhu, anaendelea na mikutano ya kampeni ya Chama Cha Mapinduzi

HODI HODI MANYARA!

Leo, tarehe 03 Oktoba 2025, safari ya ushindi wa kishindo imewasili mkoani Manyara, ambapo Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Mhe. Dkt. Samia Suluhu, anaendelea na mikutano ya kampeni ya Chama Cha Mapinduzi
Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile Photo

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Mhe. Dkt. Samia Suluhu, akiendelea na kampeni katika mkutano wa hadhara uliofanyika Hanang, mkoa wa Manyara leo tarehe 03 Oktoba 2025. Amesema kuwa endapo wananchi watampa ridhaa ya kuendelea

Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile Photo

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Mhe. Dkt. Samia Suluhu, akiendelea na kampeni katika mkutano wa hadhara uliofanyika Hanang, mkoa wa Manyara tarehe 03 Oktoba 2025. Amewaeleza wananchi wa Hanang kuwa Chama Cha Mapinduzi kimewajibika

Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile Photo

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Mhe. Dkt. Samia Suluhu, akiendelea na kampeni kupitia mkutano wa hadhara uliofanyika Babati Mjini, mkoani Manyara. Amewaeleza wananchi kuwa serikali ya CCM ikipewa ridhaa itaendeleza kazi ya kupima

Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile Photo

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Mhe. Dkt. Samia Suluhu, siku ya Leo ameendelea na mkutano wa kampeni uliofanyika Babati Mjini, mkoani Manyara. Katika hotuba yake, amewaeleza wananchi kuwa Ilani ya CCM ya mwaka 2025-2030 kifungu

Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile Photo

Ahadi za Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Mhe. Dkt. Samia Suluhu, katika mikutano yake ya kampeni mkoani Manyara, zimeweka dira thabiti ya maendeleo kwa miaka mitano ijayo kuelekea Tanzania yenye uchumi imara, huduma bora na maisha

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Mhe. Dkt. Samia Suluhu, akiendelea na kampeni mkoani Manyara, ameweka wazi ahadi zenye mwelekeo wa maendeleo endelevu Katika sekta ya mifugo kwa miaka mitano ijayo #HaijapataKutokea #DiraYaSamia

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Mhe. Dkt. Samia Suluhu, akiendelea na kampeni mkoani Manyara, ameweka wazi ahadi zenye mwelekeo wa maendeleo endelevu Katika sekta ya mifugo kwa miaka mitano ijayo

#HaijapataKutokea #DiraYaSamia
Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile Photo

Katika mikutano yake ya kampeni mkoani Manyara, Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Mhe. Dkt. Samia Suluhu, ameahidi kuendeleza mageuzi makubwa ya miundombinu mkoani hapo, yatakayochochea maendeleo ya wananchi wa Manyara na Taifa kwa

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Mhe. Dkt. Samia Suluhu, akiwa mkoani Manyara ameeleza kuwa miongoni mwa ahadi zake kwa wananchi wa Manyara ni kuendelea kuunganisha Watanzania kupitia mawasiliano bora, kutoka vijijini hadi mijini.

ASANTE SANA MANYARA KWA MAPOKEZI YA KIHISTORIA! 🙌 Shukrani za dhati kwa wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (Chama Cha Mapinduzi) kwa kujitokeza kwa wingi, kwa ari na moyo wa upendo, kushiriki mikutano ya kampeni ya Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na

ASANTE SANA MANYARA KWA MAPOKEZI YA KIHISTORIA! 🙌

Shukrani za dhati kwa wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (Chama Cha Mapinduzi) kwa kujitokeza kwa wingi, kwa ari na moyo wa upendo, kushiriki mikutano ya kampeni ya Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na
Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile Photo

Kumbukumbu ya ahadi za Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Mhe. Dkt. Samia Suluhu mapema wiki iliyopita alipokuwa mkoani Manyara na kuahidi kuendeleza jitihada za kuimarisha uchumi na kuinua maendeleo ya wananchi wa Manyara.

SAFARI YA USHINDI WA KISHINDO INAELEKEA MKOANI MWANZA Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Mhe. Dkt. Samia Suluhu anatarajiwa kuanza rasmi ziara yake ya kampeni Kanda ya Ziwa, akianzia mkoani Mwanza tarehe 07 Oktoba 2025. Wananchi wa