Devota Minja (@devotaminja) 's Twitter Profile
Devota Minja

@devotaminja

Professional journalist ,worked with ITV /Radio one 2002-2015 Former Mp Morogoro region (special seat)2015-2020. 2024 central zone chairperson

ID: 835708963748524032

calendar_today26-02-2017 04:31:58

860 Tweet

19,19K Followers

7,7K Following

Associate CPA Catherine Ruge (Msubhati) (@catherineruge) 's Twitter Profile Photo

Leo nimezungumza na viongozi wa chama chetu, watia nia wa Ubunge na udiwani wetu kuhusu wajibu, mshikamano na mwelekeo wa chama chetu kuelekea uchaguzi Mkuu oktoba 2025. Changamoto hazitukwamishi zinatuthibitishia kuwa tuko tayari kuongoza. Huu ni wakati wa kusimama imara kwa

Leo nimezungumza na viongozi wa chama chetu, watia nia wa Ubunge na udiwani wetu kuhusu wajibu, mshikamano na mwelekeo wa chama chetu kuelekea uchaguzi Mkuu oktoba 2025.
Changamoto hazitukwamishi zinatuthibitishia kuwa tuko tayari kuongoza. Huu ni wakati wa kusimama imara kwa
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) CHAUMMA Tanzania , Salum Mwalimu, amepinga vikali madai kuwa CHADEMA, wanachama na viongozi wake waliafikiana kususia uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, akisema hakuna kikao rasmi kilichopitisha uamuzi huo, na kuitaka CHADEMA

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

"Chama hakitoona aibu kuwaletea mama Kiwanga huyu labda mseme hamumtaki, tutamleta Mama huyu, huyu ni mwanamageuzi, mwanamapinduzi kwelikweli. Mama eti anaambiwa hajasoma, matajiri gani wameenda Bungeni wakagawa utajiri wao kwa wapigakura wake?niambieni. Wanawadanganya ooh Mama

CHAUMMA Tanzania (@chaummat) 's Twitter Profile Photo

Leo July15,2025 Makamu Mwenyekiti Bara,Mheshimiwa Devotha Minja, katibu Mkuu Mh.Salum Mwalimu na Naibu katibu Mkuu Zanzibar Mh.Mohamed Masoud wakihutubia wananchi wa Jimbo la Liwale, Mkoa wa Lindi. Huu ni muendelelezo wa awamu ya pili ya operesheni #Pigakurayaukombozi

tar July15,2025 Makamu Mwenyekiti Bara,Mheshimiwa Devotha Minja, katibu Mkuu Mh.Salum Mwalimu na Naibu katibu Mkuu Zanzibar Mh.Mohamed Masoud wakihutubia wananchi wa Jimbo la Ruhangwa kata ya Nachingwea Viwanja vya Shule ya Likanga Mkoa wa Lindi. Huu ni muendelelezo wa awamu ya

Gilly Bonny Tv (@gillybonnytv) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: "CHAUMMA ni chama ambacho hakijawahi kufikiria kufunga ndoa na CCM, hichi ni chama ambacho kicho na wananchi kupambana na CCM, na kauli yetu ya ubwabwa sio ya masihara, tunamaanisha", Kaimu Makamu mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) CHAUMMA Tanzania bara, Devotha

CHAUMMA Tanzania (@chaummat) 's Twitter Profile Photo

Jana, Julai 15,2025 Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. Devotha Minja, akizungumza na wananchi wa Liwale ikiwa ni mwendelezo wa awamu ya pili ya OperationC4C. 📍LINDI. #Pigakurayaukombozi #CHAUMMA4CHANGE #Tunaendeleatulipoishia

CHAUMMA Tanzania (@chaummat) 's Twitter Profile Photo

Leo July 16,2025 Makamu Mwenyekiti Bara Mh.Devotha Minja ,Katibu Mkuu Mh.Salum Mwalimu,Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mh.Mohamed MASOUD Rashidi na Mkurugenzi wa itikadi,Mafunzo na Organization Mh.Edward Kinabo wamehutubua wananchi wa Jimbo la Tunduru,Mkoa wa Ruvuma ikiwa ni

Segerea hapa poi Mtia Nia Wa Ubunge jimbo la segerea Mh.Agnesta Kazia amempokea alikuwa Katibu wa Chadema Kata ya bonyokwa na kujiunga na CHAUMMA akiendelea na ziara ya kata kwa kata kujenga Chama Leo July 16,2025.

Leo, Julai 17,2025 Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. Devotha Minja, katibu Mkuu Mh.Salum Mwalimu,Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mh.Mohamed Masoud Rashid na Mkurugenzi wa utafiti,tathimini na Ufuatiliaji Ndg.Eliah Mahwa lawakizungumza na wananchi wa Iringa , ikiwa ni mwendelezo wa awamu

Leo, Julai 17,2025 Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. Devotha Minja,  katibu Mkuu Mh.Salum Mwalimu,Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mh.Mohamed Masoud Rashid na Mkurugenzi wa utafiti,tathimini na Ufuatiliaji Ndg.Eliah Mahwa lawakizungumza na wananchi wa Iringa , ikiwa ni  mwendelezo wa awamu
Associate CPA Catherine Ruge (Msubhati) (@catherineruge) 's Twitter Profile Photo

Leo tarehe 21/07/2025 Naibu Katibu Mkuu Bara Mhe Benson Kigaila akiongoza kikao cha Viongozi na Wagombea Mkoa wa Iringa. #PigaKuraYaUkombozi #CHAUMMA4CHANGE

Leo tarehe 21/07/2025 Naibu Katibu Mkuu Bara Mhe Benson Kigaila akiongoza kikao cha Viongozi na Wagombea Mkoa wa Iringa.
#PigaKuraYaUkombozi
#CHAUMMA4CHANGE
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi wa Fedha, Mipango na Uchumi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Catherine Ruge (Msubhati) amesema ameamua kusimama na kugombea ubunge wa Jimbo la Serengeti Mkoani Mara, kwa lengo la kupigania haki za wananchi na kurejesha matumaini kwa jamii inayokabiliwa na

Associate CPA Catherine Ruge (Msubhati) (@catherineruge) 's Twitter Profile Photo

Hotuba Yangu- 22/07/2025 Wazazi wangu wapendwa, baba zangu na mama zangu, kaka na dada zangu, vijana wa wa jimbo letu pendwa la Serengeti , na kila mpenda maendeleo wa Taifa hili. Nasimama mbele yenu leo si kama mgeni, bali kama binti yenu niliyekulia katika changamoto zenu,

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amesema kuwa bado haijafahamika iwapo Mwenyekiti wa chama hicho, Hashim Rungwe, atagombea tena urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2025. Akizungumza na wanahabari leo Julai 27, 2025 jijini Dodoma, mara baada ya

CHAUMMA Tanzania (@chaummat) 's Twitter Profile Photo

Leo July 27,2025 Naibu katibu Mkuu Bara wa CHAUMMA Mh.Benson Kigaila akizungumza na wanachama pamoja na watia nia wa Udiwani na Ubunge Jimbo la Bagamoyo. 📍MKOA WA PWANI #Tunaendeleatulipoishia #C4c #Pigakurayaukombozi

Leo July 27,2025 Naibu katibu Mkuu Bara wa CHAUMMA Mh.Benson Kigaila akizungumza na wanachama pamoja na watia nia wa Udiwani na Ubunge Jimbo la Bagamoyo.

📍MKOA WA PWANI
#Tunaendeleatulipoishia
#C4c
#Pigakurayaukombozi