Dee (@deocres97) 's Twitter Profile
Dee

@deocres97

Love above hate โค๐Ÿ˜Š

ID: 994997614599983104

calendar_today11-05-2018 17:48:12

993 Tweet

234 Followers

594 Following

Habiib Yahya๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ธ (@habiibyahya6) 's Twitter Profile Photo

Mtoto alimwambia babake: Mtu wa taka yupo mlangoni. Baba akamwambia: Ni mtu wa usafi sio mtu wa taka! sisi ndio wenye taka, yeye amekuja kutusaidia. #Malezi_bora #Daritakuwasafi?๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Mtoto alimwambia babake: Mtu wa taka yupo mlangoni.

 Baba akamwambia: Ni mtu wa usafi sio mtu wa taka! sisi ndio wenye taka, yeye amekuja kutusaidia.

 #Malezi_bora #Daritakuwasafi?๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Tanzania Business Insight (@tanzaniainsight) 's Twitter Profile Photo

TASTY RODENTS.. ๐Ÿญ VIDEO: Momba District Commissioner Fack Lulandala talks to residents of a village in Songwe region in Tanzania as they prepare rodents for cooking by rubbing them in the sand to remove fur. Once cooked, they are sold as a tasty delicacy in the region

shandu (@mwankemwaimani) 's Twitter Profile Photo

Dr Mmbaga Nikiwa mwaka wa pili UDOM nilibahatika kufahamiana na mama mmoja alikua anafanya masters, amepga bachelor Udsm kwa kinywa chake aliniambia bachelor yenu ngumu sana.

Dee (@deocres97) 's Twitter Profile Photo

Kama ilivyo kwa mwili kupoteza thamani pale unapokosa uhai, ndivyo ilivyo kwa mahusiano kupoteza thamani pale yanapokosa heshima.

SikilizaTogolani (@sikilizatogolan) 's Twitter Profile Photo

"Hata kama unamjua mtu, ukikuta foleni panga foleni, ukiiruka unamuweka huyo unayemjua katika wakati mgumu dhidi ya walioko kwenye foleni. Mpe nafasi huyo unayemjua atafute njia bora ya kukusaidia isiyokwaza watu. Ukiondoka yeye atabaki nao". ~Togolani Mavura.

"Hata kama unamjua mtu, ukikuta foleni panga foleni, ukiiruka unamuweka huyo unayemjua katika wakati mgumu dhidi ya walioko kwenye foleni. Mpe nafasi huyo unayemjua atafute njia bora ya kukusaidia isiyokwaza watu. Ukiondoka yeye atabaki nao". ~Togolani Mavura.
viola julius (@vwalaviola) 's Twitter Profile Photo

Wengi watataka kujua ulipitaje au ulifanikiwaje hata baada ya uliowaamini kukuangusha, jibu lako liwe moja , uliwasamehe ukaendelea na maisha. Usimuombee yeyote ubaya Wala uzuri ,muombee apate chochote ambacho ni kibali chake . Siku njema kwako na wako #Elimikawikiendi

Haki Ngowi (@hakingowi) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ”ด TAARIFA: "Leo tunawatangazia rasmi kuwa sasa tunaanzisha Operesheni kabambe ya kupambana na panya road,hatutaruhusu Panya road wakatamba na bisibisi na panga,ni wakati wa kuwaonya kuanzia leo usiku wa leo na kuendelea hakuna PANYA ROAD atasalimika Dar "-RC Amos Makalla

CNN International (@cnni) 's Twitter Profile Photo

Indochinese tigers have been poached to the brink of extinction across Southeast Asia. But at a wildlife sanctuary in Thailand, their numbers have doubled in the last 15 years, thanks to new conservation and anti-poaching measures. cnn.it/38vfjOJ