DENIS JULIUS LUKUMO (@denicjulius) 's Twitter Profile
DENIS JULIUS LUKUMO

@denicjulius

ID: 2942350606

calendar_today26-12-2014 16:07:52

212 Tweet

131 Takipçi

582 Takip Edilen

DENIS JULIUS LUKUMO (@denicjulius) 's Twitter Profile Photo

I think I miss Something..!Can Someone tell me why Royals Stand there at Yellow square? And at what Time, for how Long?? #BBTitans    #TsatsiiMadiba #Ebubuu

DENIS JULIUS LUKUMO (@denicjulius) 's Twitter Profile Photo

Waiting for them to finish partying, so I can go out also to enjoying my weekend with vibe from #BBTitans Party room #kitambaacheupesinza #theplanetsinza

Paul Bonaventure (@phbhimself) 's Twitter Profile Photo

yafanyike. Ziwa Victoria lilitokea takribani miaka 400,000 iliyopita. Victoria lina historia ya kipekee kijiografia duniani likiwa ni moja ya ziwa kuu ambalo limekutwa na tukio la kukausha maji yake yote mara tatu. Zaidi ya miaka 17,300 iliyopita ziwa hili ambalo ni chanzo..

LUSAJO (@sajo_mwaihabi) 's Twitter Profile Photo

Vijana hasa mnaokua 23-29yrs nataka niwaambie jambo Moja leo KUJITOLEA kufanya kazi kunaweza kusikupe matokeo badala yake kukakupotezea muda. Bali, KUJITOLEA KWENYE TIJA kuna maana kubwa saana kufikia malengo yako. Kivipi? Shuka na uzi huu mfupi sana.

Vijana hasa mnaokua 23-29yrs nataka niwaambie jambo Moja leo

KUJITOLEA kufanya kazi kunaweza kusikupe matokeo badala yake kukakupotezea muda.

Bali, KUJITOLEA KWENYE TIJA kuna maana kubwa saana kufikia malengo yako.

Kivipi? Shuka na uzi huu mfupi sana.
Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Sema bima ya afya kuwa bure kwa kila mtu inawezekana,mfano zile tozo wanazochukua wazielekeze kwenye mfuko wa bima ya afya ya taifa.Yani linatolewa neno tozo muda wanakata linaitwa afya hata hatutojisikia vibaya.

Fenny Boy is now Aavailable 🌹🐶 (@oildeyforyou) 's Twitter Profile Photo

Gosh I was literally in tears while watching this video. ILEBAYE ODINIYA✨ doesn't deserve this wickedness 🙏🏽🙏🏽 Bayetribe pls welcome me 🤧 #BBNaijaAllStars #BBNaijaAllStar #ilebaye #Bayetribe

BarbieGirl” 11:11🌸 (@iamdoll__) 's Twitter Profile Photo

HISTORIA FUPI YA TANGANYIKA PACKERS, KAWE KWA MWAMPOSA Kati ya mwaka 1947 mpaka 1975 wakoloni waingereza walikuwa ni wamiliki wa kiwanda kilichokuwa kinaitwa TANGANYIKA PACKERS LTD (TPL) kiliajiri wafanyakazi zaidi ya 1200 na walikuwa wanafanya kazi kwa shift na...✍️👇

HISTORIA FUPI YA TANGANYIKA PACKERS, KAWE KWA MWAMPOSA

Kati ya mwaka 1947 mpaka 1975 wakoloni waingereza walikuwa ni wamiliki wa kiwanda kilichokuwa kinaitwa TANGANYIKA PACKERS LTD (TPL) kiliajiri wafanyakazi zaidi ya 1200 na walikuwa wanafanya kazi kwa shift na...✍️👇