
Yohana Kaunya
@yohanakaunya
KAIMU KATIBU MKUU BARAZA LA VIJANA WA CHADEMA (BAVICHA) TAIFA
NAIBU KATIBU MKUU BAVICHA TAIFA 2019/2024
DIWANI NILIEPORWA UDIWANI 2020 KATA YA BUNDA STOO
ID: 731008398645428224
13-05-2016 06:29:18
4,4K Tweet
14,14K Followers
1,1K Following

Asubuhi ya leo tarehe 30 Mei 2025 Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara Mhe. John Heche pamoja na ujumbe wake wakiwa Moshi kuendelea na Operesheni #NoReformsNoElection wamepata wasaa wa kutembelea kaburi la mwasisi wa Chama Marehemu Philemon Ndesamburo, na kuweka mashada ya maua.
