Yanga SC TV (@yangasctv) 's Twitter Profile
Yanga SC TV

@yangasctv

Official Account for YANGA TV @YoungAfricansSC

ID: 1947393960982261760

linkhttps://youtube.com/@youngafricanssctv?si=NOkoviba7tBwBG-D calendar_today21-07-2025 20:31:45

19 Tweet

850 Followers

23 Following

Yanga SC TV (@yangasctv) 's Twitter Profile Photo

Mfumo upi utamfaa Conte kwenye kikosi cha Yanga? Huyu hapa George Ambangile akichambua kwa kina usajili huu ndani ya kikosi cha Wananchi. #TransferTalk Video kamili inapatikana Yanga TV(youtube) #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

Yanga SC TV (@yangasctv) 's Twitter Profile Photo

Fahamu silaha mbili alizotumia Rais wetu Eng. Hersi Said kumpata Engineer Conte #TransferTalk Video kamili inapatikana YANGA TV (youtube) #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

Yanga SC TV (@yangasctv) 's Twitter Profile Photo

Offen Chikola amefunguka baada ya kutua rasmi kuwatumikia Wananchi Video kamili inapatikana Yanga TV (YouTube) #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

Yanga SC TV (@yangasctv) 's Twitter Profile Photo

Anwar Binde ashusha takwimu za Mudathir 🙌🏽 Episode ya pili ya #TransferTalk iko tayari Yanga TV (youtube) #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

Yanga SC TV (@yangasctv) 's Twitter Profile Photo

Ally Kamwe akisimulia usumbufu mkubwa uliotokea kwenye usajili wa Mudathir Yahya Je ni nini kilitokea? tazama sasa Episode ya pili ya #TransferTalk Yanga TV (YouTube) Sponsored by GSMGroupCompanies #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

Young Africans SC (@youngafricanssc) 's Twitter Profile Photo

Alichokisema Kocha wetu mkuu Romain Folz baada ya kutambulishwa rasmi. Tazama video kamili Yanga TV (YouTube) Follow Yanga SC TV 👊🏽 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

Yanga SC TV (@yangasctv) 's Twitter Profile Photo

Kutoka kwa Hansrafael hii hapa CV ya Kocha Romain Folz kabla ya kutua Young Africans SC. Mwananchi twende tukaangalie Episode ya 3 ya #TransferTalk Yanga TV( YouTube) Follow Yanga SC TV #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

Yanga SC TV (@yangasctv) 's Twitter Profile Photo

Ally Kamwe afunguka jinsi tulivyompata Kocha Romain Mwananchi twende tukaangalie Episode ya 3 ya #TransferTalk Yanga TV( YouTube) #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

Yanga SC TV (@yangasctv) 's Twitter Profile Photo

𝐙𝐀 𝐍𝐃𝐀𝐍𝐈𝐈𝐈𝐈𝐈𝐈𝐈𝐈𝐈𝐈𝐈 Ndani ya #TransferTalk ya Yanga SC TV Ricardo Momo amefunguka kuhusu Professor wa Boli @pacom_zouzoua Episode ya 4 ya #TransferTalk inakusubiri wewe Mwananchi ndani Yanga TV (youtube)👊🏽 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

Yanga SC TV (@yangasctv) 's Twitter Profile Photo

KOU-Magic afunguka sababu ya kuichagua Young Africans SC Tazama Episode ya 5 ya #TransferTalk ndani ya Yanga TV(youtube) #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

Young Africans SC (@youngafricanssc) 's Twitter Profile Photo

🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague 🆚 Mbeya City 🗓️ 30 Sept 2025 🏟️ Sokoine ⏱️ Saa 10:15 Jioni #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko