munojr (@xmunojr) 's Twitter Profile
munojr

@xmunojr

Specialist Cyber security #infoSec #RedTeam

ID: 1390683438714429444

calendar_today07-05-2021 15:02:50

3,3K Tweet

714 Followers

1,1K Following

Geronimo (@geronimomci) 's Twitter Profile Photo

Ingia ongoza au fuata mkia kukimbia ni mwiko. Kuanzia ulipo sio sawa na kubakia ulipo. Nikisema chini hapana Nina maana fanya unyanyuke. Na ukiamini umesimama mwana komaa usianguke.

Anna Tibaijuka (@annatibaijuka) 's Twitter Profile Photo

Mwigulu Nchemba, PhD Zitto MwamiRuyagwa Kabwe Kiujumla pendekezo la kutoza WHT ya 10% kwenye mapato yaliyobaki (retained earnings ) linaweza kuwa na athari kubwa kwa kampuni ambazo zilikuwa na malengo ya muda mrefu ya uwekezaji. Nami nashauri liondolewe pamoja na Kukubaliana na Waziri sio double taxation

Yours__Gee🥀 (@ganerosee) 's Twitter Profile Photo

Ndani ya miaka 3 hii nitaolewa na mwanaume alielelewa vizuri i mean kind one… Bado sijampata ila i know what i want and how to get it..

#TOTTechs (@tottechs) 's Twitter Profile Photo

A password with just 6 characters (numbers only) can be cracked in less than a second, However a 12 Character password with a mix of letters, numbers and symbols could take centuries to crack. Be informed, stay safe 📍

🇯🇲JamaicanSweetheart🇯🇲 (@localfundi_) 's Twitter Profile Photo

What really pisses me off is that even y’all hashtag pushers are just as broke as we are, I just pray y’all come to your senses because there’s no way you’re going to get rich with those pennies🌚

m.s.a.k.i+ (@raphyrodrick) 's Twitter Profile Photo

Fikeni Banda la Sabasaba katika kijiji cha Bima mtuulize maswali haswa katika bima za maisha na bima za Afya tuwahudumie 🙏

Boniface Chengula (@bohny_chengula) 's Twitter Profile Photo

Siku moja nilienda ibada ya moja ya mtumishi mkubwa sana hapa Tanzania, huwa napenda kuwahi, na huwa napendelea kukaa viti vya katikati mwa kanisa, sio viti vya mbele wala vya nyuma. Kama nilivosema hua napenda kuwahi ibadani, kama ibada ni saa4 na nusu basi hufika hapo saa3.

Siku moja nilienda ibada ya moja ya mtumishi mkubwa sana hapa Tanzania, huwa napenda kuwahi, na huwa napendelea kukaa viti vya katikati mwa kanisa, sio viti vya mbele wala vya nyuma.

Kama nilivosema hua napenda kuwahi ibadani, kama ibada ni saa4 na nusu basi hufika hapo saa3.