UpdatesOfACT-Wazalendo (@updatesofact) 's Twitter Profile
UpdatesOfACT-Wazalendo

@updatesofact

Ukurasa wa Taarifa za Chama Cha ACT Wazalendo

ID: 1430168182363394065

calendar_today24-08-2021 14:01:00

17,17K Tweet

1,1K Followers

79 Following

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya ACT Wazalendo ACTWazalendo katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, Fatma Abdulhabib Fereji, amesema chama hicho kimejipanga kwa dhati kushika dola. Akizungumza, Agosti 20, 2025, mbele ya wanachama

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Katibu wa Taasisi na Jumuiya za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, amesema kauli ya kwamba dini isichanganywe na siasa ni mbinu inayotumiwa na wanasiasa ili kuwazuia viongozi wa dini kushiriki katika maamuzi ya kitaifa. Akizungumza kwenye mahojiano maalum na

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Mgombea Ubunge wa Jimbo la Temeke kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Sheikh Ponda Issa Ponda, amechukua fomu rasmi ya kuomba kuteuliwa na Tume Huru ya Uchaguzi, huku akiahidi kufanya mageuzi makubwa kwa kushirikiana na wabunge wenzake endapo atapata ridhaa ya wananchi.

Husna Sungura (@husnasungura) 's Twitter Profile Photo

MPINA AFIKA IGUNGA KUOMBA UDHAMINI Leo Agosti 22, 2025 Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Act Wazalendo Luhaga Mpina, akiwasalimia wananchi wa Igunga Mkoani Tabora udhamini ili kukidhi vigezo vya kuteuliwa na Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi kugombea Urais.

MPINA AFIKA IGUNGA KUOMBA UDHAMINI
Leo Agosti 22, 2025 Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Act Wazalendo Luhaga Mpina, akiwasalimia wananchi wa Igunga Mkoani Tabora udhamini ili kukidhi vigezo vya kuteuliwa na Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi kugombea Urais.
felix kamugisha (@felixkamugisha7) 's Twitter Profile Photo

Leo August 22, 2025 Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Act Wazalendo Luhaga Mpina, akiwasalimia wananchi wa Igunga Mkoani Tabora baada ya kufika kuomba udhamini ili kukidhi vigezo vya kuteuliwa na Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi kugombea Urais.

Leo August 22, 2025 Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Act Wazalendo Luhaga Mpina, akiwasalimia wananchi wa Igunga Mkoani Tabora baada ya kufika kuomba udhamini ili kukidhi vigezo vya kuteuliwa na Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi kugombea Urais.
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo Othman Masoud Othman (OMO) amesema miongoni mwa sababu zilizomsukuma kuomba ridhaa ya kugombea nafasi hiyo ni uwepo wa mambo mengi ya msingi ambayo yanahitajika kurekebishwa kwa haraka Zanzibar Akizungumza na

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo Othman Masoud Othman (OMO) amesema miongoni mwa sababu zilizomsukuma kuomba ridhaa ya kugombea nafasi hiyo ni uwepo wa mambo mengi ya msingi ambayo yanahitajika kurekebishwa kwa haraka Zanzibar

Akizungumza na
ACTWazalendo (@actwazalendo) 's Twitter Profile Photo

📍Babati Manyara Leo Agosti 23, 2025 Mgombea wa Urais Tanzania kwa tiketi ya ACTWazalendo, Ndugu Luhaga Mpina amefika Mkoa wa Manyara kuomba udhamini wa wapiga kura ili kukidhi matakwa ya kisheria kabla ya kuteuliwa rasmi na INEC kuwa Mgombea Urais wa Tanzania. Oktoba

📍Babati Manyara

Leo Agosti 23, 2025 Mgombea wa Urais Tanzania kwa tiketi ya ACTWazalendo, Ndugu Luhaga Mpina amefika Mkoa wa Manyara kuomba udhamini wa wapiga kura ili kukidhi matakwa ya kisheria kabla ya kuteuliwa rasmi na INEC kuwa Mgombea Urais wa Tanzania.

Oktoba
Dotto Rangimoto (@jinikinyonga) 's Twitter Profile Photo

📍Babati Manyara Leo Mgombea wa Urais Tanzania kwa tiketi ya ACTWazalendo, Ndg Luhaga Mpina amefika Mkoa wa Manyara kuomba udhamini wa wapiga kura ili kukidhi matakwa ya kisheria kabla ya kuteuliwa rasmi na INEC kuwa Mgombea Urais wa Tanzania. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi

📍Babati Manyara

Leo Mgombea wa Urais Tanzania kwa tiketi ya ACTWazalendo, Ndg Luhaga Mpina amefika Mkoa wa Manyara kuomba udhamini wa wapiga kura ili kukidhi matakwa ya kisheria kabla ya kuteuliwa rasmi na INEC kuwa Mgombea Urais wa Tanzania.

Oktoba #LindaKura
#MuhuniHasusiwi
UpdatesOfACT-Wazalendo (@updatesofact) 's Twitter Profile Photo

Katika kutimiza takwa la kisheria Mgombea Mwenza, Fatma Ferej na Mgombea nafasi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu, Luhaga Joelson Mpina walifika Mahakama Kuu Dar Es Salaam kwa ajili ya kula kiapo mbele ya Jaji. Zoezi hilo limetekelezeka kikamilifu. Oktoba #LindaKura

Katika kutimiza takwa la kisheria Mgombea Mwenza, Fatma Ferej na Mgombea nafasi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu, Luhaga Joelson Mpina walifika Mahakama Kuu Dar Es Salaam kwa ajili ya kula kiapo mbele ya Jaji. Zoezi hilo limetekelezeka kikamilifu.

Oktoba #LindaKura
UpdatesOfACT-Wazalendo (@updatesofact) 's Twitter Profile Photo

Mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Ndugu, Fatma Ferej atakuwepo kwenye siku ya uzinduzi wa Kampeni za ACT Wazalendo ambapo kitaifa zitafanyika Jijini Mwanza. Uzinduzi huo utaongozwa na Mgombea Urais Ndugu, Luhaga Joelson Mpina.

Mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Ndugu, Fatma Ferej atakuwepo kwenye siku ya uzinduzi wa Kampeni za ACT Wazalendo ambapo kitaifa zitafanyika Jijini Mwanza.

Uzinduzi huo utaongozwa na Mgombea Urais Ndugu, Luhaga Joelson Mpina.
Ismail Jussa (@ismailjussa) 's Twitter Profile Photo

Chama cha ACTWazalendo kitazindua Kampeni za Urais Jijini #Mwanza ambapo kwa mara ya kwanza Ndugu Mpina, akiambatana na Mgombea Mwenza, Fatma Ferej, atanadi Ilani ya ACT na vipaumbele vyake. Mahala: Viwanja vya Furahisha Siku: Agosti 30, 2025 Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi

Chama cha ACTWazalendo kitazindua Kampeni za Urais Jijini #Mwanza ambapo kwa mara ya kwanza Ndugu Mpina, akiambatana na Mgombea Mwenza, Fatma Ferej, atanadi Ilani ya ACT na vipaumbele vyake.

Mahala: Viwanja vya Furahisha
Siku: Agosti 30, 2025

Oktoba #LindaKura
#MuhuniHasusiwi
UpdatesOfACT-Wazalendo (@updatesofact) 's Twitter Profile Photo

Siku ya Jumatatu 01 Septemba, 2025 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACTWazalendo atazungumza na Watanzania kupitia vyombo vya habari. Mkutano na Waandishi utafanyika Makao Makuu, Magomeni Dar Es Salaam.

Siku ya Jumatatu 01 Septemba, 2025 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACTWazalendo atazungumza na Watanzania kupitia vyombo vya habari.

Mkutano na Waandishi utafanyika Makao Makuu, Magomeni Dar Es Salaam.
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe (@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

Inna lillah waina ilaih waina ilaih raajiun. Pole sana familia ya Mzee Suleiman Bungara Bwege kwa msiba huu mzito. Pole sana Mama Mwanawetu Zarafi, mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha ACT Wazalendo kwa kufiwa na mumeo. Pole zangu kwa wana Kilwa na Lindi kwa mtihani huu.

Inna lillah waina ilaih waina ilaih raajiun.

Pole sana familia ya Mzee Suleiman Bungara Bwege kwa msiba huu mzito. Pole sana Mama Mwanawetu Zarafi, mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha ACT Wazalendo kwa kufiwa na mumeo.

Pole zangu kwa wana Kilwa na Lindi kwa mtihani huu.
ACTWazalendo (@actwazalendo) 's Twitter Profile Photo

Salamu za rambirambi kutoka kwa KC Dorothy Semu kufuatia kifo cha Ndugu Seleman Bungara kilichotokea leo Machi 30, 2026. Mungu amjalie pumziko la milele.

Salamu za rambirambi kutoka kwa KC Dorothy Semu kufuatia kifo cha Ndugu Seleman Bungara kilichotokea leo Machi 30, 2026.

Mungu amjalie pumziko la milele.