Dodoma Post (@thedodomapost) 's Twitter Profile
Dodoma Post

@thedodomapost

Karibu kwenye ukurasa rasimi wa Tweeter "The Dodoma Post' Kwa Habari, Matangazo, na Taarifa za matukio yaliyojiri Ulimwenguni..

ID: 1608168368489611264

linkhttp://Thedodomapost.co.tz calendar_today28-12-2022 18:30:12

107 Tweet

46 Followers

64 Following

Dodoma Post (@thedodomapost) 's Twitter Profile Photo

Tumezoea kuona siku ya Valentine watu Maarufu pamoja na wasanii wakitoka chakula cha usiku (dinner) pamoja na wapenzi wao.. Hii imekua tofauti kwa @juma_jux ambaye ameamua kumtoa mama yake mzazi dinner kitu ambacho kimeleta maswali je? #JUX na #KAREN wameachana? #thedodomapost

Dodoma Post (@thedodomapost) 's Twitter Profile Photo

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko leo tarehe 16 Machi, 2024 anashiriki katika ibada Maalum ya Uwekaji wa jiwe la Msingi la jengo la Kanisa la Africa Inland Church Tanzania (AICT) inayofanyika jijini Mwanza.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko leo tarehe 16 Machi, 2024 anashiriki katika ibada Maalum ya Uwekaji wa jiwe la Msingi la jengo la Kanisa la Africa Inland  Church  Tanzania (AICT) inayofanyika jijini Mwanza.
Dodoma Post (@thedodomapost) 's Twitter Profile Photo

Msanii wa vichekesho, Umar Iahbedi Issa maarufu ā€˜Mzee wa Mjegeje’ amefariki dunia leo alfajiri katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala, Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu. Meneja wa msanii huyo, Real Jimmy amethibitisha taarifa hizo. #thedodomapost

Msanii wa vichekesho, Umar Iahbedi Issa maarufu ā€˜Mzee wa Mjegeje’ amefariki dunia leo alfajiri katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala, Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.

Meneja wa msanii huyo, Real Jimmy amethibitisha taarifa hizo.
#thedodomapost
Dodoma Post (@thedodomapost) 's Twitter Profile Photo

Shirikisho la Soka la Argentina limetangaza rasmi kuwa mchezaji wao na Nahodha Lionel Messi atakosa mechi zijazo za kirafiki za Argentina nchini Marekani kutokana na jeraha la misuli ya paja alilolipata kwenye mechi ya Inter Miami dhidi ya Nashville. #thedodomapost #football

Shirikisho la Soka la Argentina limetangaza rasmi kuwa mchezaji wao na Nahodha Lionel Messi atakosa mechi zijazo za kirafiki za Argentina nchini Marekani kutokana na jeraha la misuli ya paja alilolipata kwenye mechi ya Inter Miami dhidi ya Nashville.
#thedodomapost #football
Dodoma Post (@thedodomapost) 's Twitter Profile Photo

"Nimekuwa nikifanya kazi vizuri na kampuni ya @softcaretanzania wamefurahia kuongeza mkataba na Mimi ambaye brand yangu imezidi kuwa kubwa Afrika Masharikiā€ Zari amesama hayo wakati akisaini mkataba mwingine na @softcaretanzania ambayo amekuwa akifanya nayo kazi kwa miaka mitatu

Dodoma Post (@thedodomapost) 's Twitter Profile Photo

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo ni Mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Kilele cha Wiki ya Maji Tanzania na Siku ya Maji Duniani. "UHAKIKA WA MAJI KWA AMANI NA UTULIVU"

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo ni Mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Kilele cha Wiki ya Maji Tanzania na Siku ya Maji Duniani.

 "UHAKIKA WA MAJI KWA AMANI NA UTULIVU"
Dodoma Post (@thedodomapost) 's Twitter Profile Photo

Kaimu Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro Victoria Shayo amewataka watumishi wa Mamlaka hiyo kuonesha mfano kwa kupanda miti katika maeneo yao ili kuunga mkono juhudi za serikali katika kutunza mazingira. #thedodomapost

Kaimu Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro Victoria Shayo amewataka watumishi wa Mamlaka hiyo kuonesha mfano kwa kupanda miti katika maeneo yao ili kuunga mkono  juhudi za serikali katika kutunza mazingira.

#thedodomapost
Dodoma Post (@thedodomapost) 's Twitter Profile Photo

Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash Amefariki Dunia Leo April 20, 2024. ā€˜Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na Pressure.

Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash Amefariki Dunia Leo April 20, 2024.

ā€˜Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na Pressure.
Dodoma Post (@thedodomapost) 's Twitter Profile Photo

Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash Amefariki Dunia Leo April 20, 2024. ā€˜Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na Pressure

Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash Amefariki Dunia Leo April 20, 2024.

 ā€˜Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na Pressure
Dodoma Post (@thedodomapost) 's Twitter Profile Photo

Viongozi, wadau na wananchi wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia 2024-2034. Hafla hiyo inafanyika (leo) katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es salaam.

Viongozi, wadau na wananchi wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia 2024-2034.

Hafla hiyo inafanyika (leo) katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es salaam.