shneida_infos
@shneida_infos
Broadcast Journalist | Producer @shneida_infos on Instagram.
ID: 1153222463716777985
22-07-2019 08:37:15
1,1K Tweet
291 Followers
143 Following
Msanii #SteveNyerere akiongelea sakata la #Niffer kumjibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa kutoa agizo la kutafutwa na ajisalimishe jeshi la Polisi. Video nzima ipo Youtube Ya #EastAfricaTV na EastAfricaRadio kusikia mengine aliyoyasema Steve Nyerere.
✍️shneida_infos Zile Verse za Joh Makini kwenye Kilimanjaro, Stimu zimelipiwa,Manuva,Karibu shows za Joh,Bye Bye, Higher na I see me zilikuwa mbele ya muda sana yaani levels. Kuna Ujumbe wa ku-entertain sana, flows kali, uandishi umenyooka,swaggz halafu anajigamba flani hivi
#HipHopfamily PlataOPlomo25 ishu siyo lugha na international ata Africa ni international inategemea wewe unayeuliza uko international ya nchigani. Swali kuhusu kwenda international kajibu kizalendo ✊🏿👮🏿♂️
Rapa #LilWayne aliweza kurekodi nyimbo 53 kwa usiku mmoja! Unju PlataOPlomo25 ana nyimbo zaidi ya 1000 mpaka sasa ,anasema Lil Wayne ametudanganya hakuna msanii anayeweza kurekodi nyimbo zote hizo kwa usiku mmoja. Upo na Lil Wayne au Nikki Mbishi katika hili? #Trending