Fred Ruhomvya
@ruhomvya
stress is un avoidable till u kiss the soil
ID: 1253670631222046722
24-04-2020 13:03:12
381 Tweet
603 Followers
1,1K Following
Baada ya kupost habari ya kuvamiwa kwa JAPHET MATARRA na watu wasiojulikana ndugu yetu John Nguti Chadema alikimbia Muhimbili kuenda kumuona. Wamejitahidi kwenye kumsaidia kupata huduma za kwanza. Na kuna baadhi ya bills wamelipia kama inavyoonekana Risiti hapo chini. Taarifa