Mlima Sayuni (@mlimasayuni) 's Twitter Profile
Mlima Sayuni

@mlimasayuni

ID: 1316402931156029441

calendar_today14-10-2020 15:42:48

18,18K Tweet

792 Followers

285 Following

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

ANAANDIKA PROFESA ANNA TIBAIJUKA MAWAKILI WA CHADEMA WAKIWASILI DODOMA KUTETEA CHAMA CHAO: Ni haki kwa mlalamikaji yeyote kutafuta haki yake mahakamani ila historia inaonesha matumizi ya mifumo ya mahakama kutatua migogoro ya vyama vya siasa hayajaonesha mafanikio ya kudumu

ANAANDIKA PROFESA ANNA TIBAIJUKA 

MAWAKILI WA CHADEMA WAKIWASILI DODOMA KUTETEA CHAMA CHAO: Ni haki kwa mlalamikaji yeyote kutafuta haki yake mahakamani ila historia inaonesha matumizi ya mifumo ya mahakama kutatua migogoro ya vyama vya siasa hayajaonesha mafanikio ya kudumu
Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_MGAWANYO_MALI_ZA_CHADEMA Part 1 Mahakama imeanza! Mawakili wa pande zote mbili wapo. Anaanza Wakili wa upande wa waleta maombi Mzee Mpale Kaba Mpoki Mpale Mpoki Kuhusu hoja ya Cause of action ilianza lini yani madai ya akina Said Issa na wenzake yalianza

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_MGAWANYO_MALI_ZA_CHADEMA Part 2 Anaendelea Dr. Rugemeleza Nshala Uamuzi huo wa Jaji aliutoa bila kuelewa trustees zinavyofanya kazi. Wakifungua Trustee yao ni watu wamoja na kama itatokea mgongano mmoja anafungua kesi basi anashitaki wenzake kwa nafsi zao.

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_MGAWANYO_MALI_ZA_CHADEMA Part 3 Anaendelea Wakili wa upande wa waleta maombi Hekima Mwasipu Sasa amri ya Mahakama iliyotolewa ilisema Respondents hawapaswi kutekeleza majukumu yao hadi kesi ya msingi itapoisha. Sheria imesema ikiisha miezi sita walioenda

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_MGAWANYO_MALI_ZA_CHADEMA Part 4. Mahakama imerejea. Anasimama Mpale Mpoki na kusema uwakilishi kwa upande wetu ni kama ilivyokuwa awali. Kwa upande wetu na sisi upande wa waleta maombi uwakilishi uko vile vile. Alban Fidelis Kairu anasimama na kuanza

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_MGAWANYO_MALI_ZA_CHADEMA Part 5 Anasimama Marijani wakili wa Said Issa na wenzake ana manywele mengi kichwani, anazungumza.. nae anapigwa maswali ya haraka haraka. Jaji kwahiyo unataka kutuambia kuwa political party act nayo inazuia discrimination Wakili

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_MGAWANYO_MALI_ZA_CHADEMA Part 6 Anaendelea Wakili wa Said Issa na wenzake Suala la amri ya zuio inamuhusu nani? Record yenyewe ya Revision inajieleza nani inamuhusu. Page 153 imewaeleza wanaouzuiwa. Wametajwa bodi ya wadhamini na katibu mkuuu. O.XXXVII ya

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_MGAWANYO_MALI_ZA_CHADEMA Part 7 Kesi ya Haruni David vs Kangi Lugola Civil appeal No. 36 inasema headings and marginal notes sio sehemu ya sheria. Sasa temporary injuction inayoongelewa kwenye sub rule 3 ya O.XXXVII hapa tunachokisema trial judge alikuwa

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_MGAWANYO_MALI_ZA_CHADEMA Part 8 Anasimama Wakili Hekima Mwasipu kutoka upande wa waleta maombi. Anasema kuhusu haki ya kusikilizwa tunaomba kusema kwamba respondents baada ya Jebra kujiondoa hawakuambiwa chochote. Descretion tunasema inapaswa kuzingatia haki

Markseven (@markseventz) 's Twitter Profile Photo

Twaha Mwaipaya Hiii ndo Media Special kwa ajili yetu sisi WATANGANYIKA TULIOTELEKEZWA na HATUNA PA KUSEMEA. ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘ Hii ni kama X tu, hata wakiiburn sisi tunayooo na kutaisuport ndani ya siku 100 itakuwa ni zaidi ya Media zile za KICHOKO. Tuifollow Tumwage moto kama Dragon ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿฒ๐Ÿฒ๐Ÿฒ

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

#FreeTunduLissu Kama wewe bado unafikiri ishu hii ya kutaka Tundu Lissu aachiwe ni ya CHADEMA au wanaharakati basi huelewi siasa mbovu inavyoathiri vibaya maisha yako! Ukishindwa kupigania haki za msingi za wengine usitarajie watakuwepo wa kukupigania haki zako wewe! Kwa sasa

#FreeTunduLissu 
Kama wewe bado unafikiri ishu hii ya kutaka Tundu Lissu aachiwe ni ya CHADEMA au wanaharakati basi huelewi siasa mbovu inavyoathiri vibaya maisha yako! 
Ukishindwa kupigania haki za msingi za wengine usitarajie watakuwepo wa kukupigania haki zako wewe! Kwa sasa
Abdulkarim  Juma (@jumaabdukarim) 's Twitter Profile Photo

Hivi Hawa jamaa wanamuongoza nani Kama hata maoni wanaogopa ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ yaani ccm ni wapumbavu sana hizo kura milion 32 mnaziogopa๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Hivi Hawa jamaa wanamuongoza nani Kama hata maoni wanaogopa ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ yaani ccm ni wapumbavu sana hizo kura milion 32 mnaziogopa๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Mercides ๏ฃฟ (@caltexjr1) 's Twitter Profile Photo

Nimerudi Instagram Muda huu wanangu Handle yetu ni (Edgar_sir_tiva) Twendeni tukafollow kwa nguvu zote tuwaambishe Ma CCM na vijana wao wa UVCCM wanaotumwa kuriport account yangu. Hakuna kukata tamaa wanangu twendeni Andika (Edgar_sir_tiva) Instagram,Msanue na mwana Repost

Nimerudi Instagram Muda huu wanangu

Handle yetu ni (Edgar_sir_tiva)

Twendeni tukafollow kwa nguvu zote tuwaambishe Ma CCM na vijana wao wa UVCCM wanaotumwa kuriport account yangu.
Hakuna kukata tamaa wanangu twendeni

Andika (Edgar_sir_tiva) Instagram,Msanue na mwana

Repost
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

AFCON 2027 TANZANIA haitakuwepo na hii kampeni tutaifanya kwa WIVU MKUBWA SANA. Kama tulivyosema hakutakuwa na UCHAGUZI 2025 na haukufanyika na sasa tunaenda kuzuia AFCON isifanyike. Mwaga moto kama DRAGON kama unaungana na mimi๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ REPOST 500 #NoDemocracyNoAfcon

AFCON 2027 TANZANIA haitakuwepo na hii kampeni tutaifanya kwa WIVU MKUBWA SANA.

Kama tulivyosema hakutakuwa na UCHAGUZI 2025 na haukufanyika na sasa tunaenda kuzuia AFCON isifanyike.

Mwaga moto kama DRAGON kama unaungana na mimi๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

REPOST 500

#NoDemocracyNoAfcon
Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

JE, JAJI CHANDE ATAKUBALI KUHARIBU CREDIBILITY YAKE??? Jaji Othman Chande yupo kwenye Tume ya UN Human Rights Council, Tume inaitwa The Independent International Fact-Finding Mission for the Sudan (FFM Sudan) ambayo inachunguza mambo ya Vita ya Sudan ambapo pamoja na mambo

JE, JAJI CHANDE ATAKUBALI KUHARIBU CREDIBILITY YAKE???

Jaji Othman Chande yupo kwenye Tume ya UN Human Rights Council, Tume inaitwa The Independent International Fact-Finding Mission for the Sudan (FFM Sudan) ambayo inachunguza mambo ya Vita ya Sudan ambapo pamoja na mambo
Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Kila mtu anafahamu kwamba Tume ya Jaji Chande ni haram kwasababu iliundwa kinyume na Katiba ya Tanzania so kuijadili hakuiondolei huo UHARAMU wake wala hakuipi uhalali wowote. Ni kama ilivo kwa Nduli Idd Amin Mama hatumtambui yeye kama Rais hata Serikali aliyounda hatuitambui