Evance Matee (@mateeevance) 's Twitter Profile
Evance Matee

@mateeevance

H.L.Technologist | Entrepreneur in Agro-Business | Supplying Lab Consumables | Brewing Ideas | Football Analyst | Passionate about Innovation & Global market |

ID: 233576282

linkhttps://MateeEvance.twitter.com calendar_today03-01-2011 16:00:30

4,4K Tweet

499 Followers

466 Following

Ki Messi Mweusi 🐐 (@1960remija) 's Twitter Profile Photo

Mechi 23 alizocheza Simba SC Kefa Kayombo kachezesha mechi 11 kwa hiyo ni mkakati maalum wa TFF na Bodi ya Ligi wakitekeleza kwa vitendo "Azimio la Dubai" kuwa mwaka huu kwa haki au dhuluma lazima Simba SC awe bingwa wa NBC. Refa anasafiri na timu, kachezesha 48% ya mechi zao.

Liberatus Mwang'ombe (@liberatus80) 's Twitter Profile Photo

Hello Support, X The @ChademaTz verified account has been compromised by unauthorized individuals. We kindly request that you suspend or restrict the account immediately to prevent further misuse. Cc: MNYIKA John John- CHADEMA Secretary General, Tundu Antiphas Lissu- CHADEMA Chairman,

Hello Support, X

The @ChademaTz verified account has been compromised by unauthorized individuals. We kindly request that you suspend or restrict the account immediately to prevent further misuse.

Cc: MNYIKA John John- CHADEMA Secretary General, Tundu Antiphas Lissu- CHADEMA Chairman,
Thé Rêpüblic of twītter (@thetzcabinet) 's Twitter Profile Photo

Hilda Newton Support X @ChademaTz Hello Support ,X, the @ChademaTz verified account has been accessed by individuals who are not the rightful owners. We kindly request that you suspend or restrict the account immediately to prevent further unauthorized use. Thank you for your urgent attention.

Grace Shio (@graceshio03) 's Twitter Profile Photo

Tunapika hapa hapa, tunakula hapa hapa na tunalala hapa hapa mpaka tumpate Mdude Mdude Nyagali Mwenye unga, mchele, viazi,maharage, sukari, chumvi msisite kutupitishia hapa. Hili ni la kwetu sote. #FreeMdudeNyagali

Tunapika hapa hapa, tunakula hapa hapa na tunalala hapa hapa  mpaka tumpate Mdude Mdude Nyagali

Mwenye unga, mchele, viazi,maharage, sukari, chumvi msisite kutupitishia hapa.

Hili ni la kwetu sote.

#FreeMdudeNyagali
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️CCM WANATETEA HAKI ZA MASHOGA KIMATAIFA👊🏽‼️ Kujeni Chama Cha Mapinduzi kumbe mko kwenye mtandao unaopigania haki za mashoga hamsemi? CCM ni sehemu ya Progressive Alliance tena muda tu na misaada wanapokea Msingi wa kwanza wa Shirkisho hili la vyama ni kutetea haki za mashoga - sasa iweje

‼️CCM WANATETEA HAKI ZA MASHOGA KIMATAIFA👊🏽‼️
Kujeni Chama Cha Mapinduzi kumbe mko kwenye mtandao unaopigania haki za mashoga hamsemi?
CCM ni sehemu ya Progressive Alliance tena muda tu na misaada wanapokea
Msingi wa kwanza wa Shirkisho hili la vyama ni kutetea haki za mashoga - sasa iweje
Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

30 years ago, Parents hoped their daughters would marry a good man. Nowadays, parents hope their sons marry a good woman. Huge lesson in there.

Young Africans SC (@youngafricanssc) 's Twitter Profile Photo

Uongozi wa klabu ya Yanga SC ukiongozwa na Mjumbe wa kamati ya utendaji Alex Ngai pamoja na Mkurungezi wa Masoko, Wanachama na Mashabiki Ibrahim Samwel tayari wamefika Soko Jipya, Stendi ya Mwasonga - Kibada, Kigamboni🔰💪🏾 #jisajilitutambuane #kadibilamalipomzigo

Uongozi wa klabu ya Yanga SC ukiongozwa na Mjumbe wa kamati ya utendaji Alex Ngai pamoja na Mkurungezi wa Masoko, Wanachama na Mashabiki Ibrahim Samwel tayari  wamefika Soko Jipya, Stendi ya Mwasonga - Kibada, Kigamboni🔰💪🏾

#jisajilitutambuane
#kadibilamalipomzigo
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Waturutumbi ambao hawajawahi kukemea utekaji na mauaji ya raia hata kwa emoji tu ndiyo leo wanataka kutufundisha jinsi ya kumzodoa mtu kama Josephat Gwajima ambaye amekemea utekaji. Tutamuunga mkono bila kusita yeyote ambaye anathubutu kusema utekaji ni ushenzi hadharani.

Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪 (@namdiazikiwe) 's Twitter Profile Photo

Kutokana na mabadiliko ya kimazingira, kijamii na kisheria, dosari mbalimbali zimejitokeza ambazo zinaifanya PGO ionekane inahitaji marekebisho makubwa ni muhimu kuifanyia marekebisho ili iendane na misingi ya kisasa ya haki na uwajibikaji #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

Kutokana na mabadiliko ya kimazingira, kijamii na kisheria, dosari mbalimbali zimejitokeza ambazo zinaifanya PGO   ionekane inahitaji marekebisho makubwa ni muhimu kuifanyia marekebisho ili iendane na misingi ya kisasa ya haki na uwajibikaji  #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi