Mao Vashi (@maovashi54264) 's Twitter Profile
Mao Vashi

@maovashi54264

Just do it

ID: 1664561510381760513

calendar_today02-06-2023 09:16:38

311 Tweet

171 Followers

1,1K Following

DINGI (@dingi_1234) 's Twitter Profile Photo

KWANINI WAZUNGU HAWAAMINI KAMA HUU MJI ULIJENGWA NA WAAFRIKA? NINI KILIFANYA MJI HUU KUANGUSHWA? SAYANSI GANI ILITUMIKA KUUJENGA MJI WA MAWE MATUPU. UZIπŸ‘‡πŸΌ

KWANINI WAZUNGU HAWAAMINI KAMA HUU MJI ULIJENGWA NA WAAFRIKA? 

NINI KILIFANYA MJI HUU KUANGUSHWA? 

SAYANSI GANI ILITUMIKA KUUJENGA MJI WA MAWE MATUPU. 

UZIπŸ‘‡πŸΌ
𝗣 𝗔 𝗕 π—Ÿ 𝗒 🦁 (@kingpablotz) 's Twitter Profile Photo

Osama bin Laden: Mtu aliyelitikisa Taifa kubwa zaidi duniani Katika historia ya dunia, ni watu wachache sana waliofanikiwa kuutikisa ulimwengu kwa kiwango kikubwa kama alivyofanya Osama bin Laden. Dunia nzima ilimuimba na kumtaja usiku na mchana, Marekani na ukubwa wao

Osama bin Laden: Mtu aliyelitikisa Taifa kubwa zaidi duniani

Katika historia ya dunia, ni watu wachache sana waliofanikiwa kuutikisa ulimwengu kwa kiwango kikubwa kama alivyofanya Osama bin Laden. 

Dunia nzima ilimuimba na kumtaja usiku na mchana, Marekani na ukubwa wao
DINGI (@dingi_1234) 's Twitter Profile Photo

IFAHAMU NGOMA YENYE UWEZO WA KUITA MVUA NA IKANYESHA. HISTORIA YA HIYO NGOMA. ASILI YA HIYO NGOMA. UHIFADHI NA HESHIMA YA HII NGOMA. UZIπŸ‘‡πŸΌ

IFAHAMU NGOMA YENYE UWEZO WA KUITA MVUA NA IKANYESHA. 

HISTORIA YA HIYO NGOMA. 

ASILI YA HIYO NGOMA. 

UHIFADHI NA HESHIMA YA HII NGOMA. 

UZIπŸ‘‡πŸΌ
millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Uongozi wa kampuni ya Azam Media Limited kwa masikitiko umetangaza kifo cha Mfanyakazi wake, Rahab Fred Fungo, aliyekuwa Mhariri Mkuu Msaidizi kwenye Idara ya Habari na Matukio. Rahab amefariki dunia leo Aprili 5, 2025 Jijini Dar es salaam wakati akiendelea na matibabu katika

Uongozi wa kampuni ya Azam Media Limited kwa masikitiko umetangaza kifo cha Mfanyakazi wake, Rahab Fred Fungo, aliyekuwa Mhariri Mkuu Msaidizi kwenye Idara ya Habari na Matukio.

Rahab amefariki dunia leo Aprili 5, 2025 Jijini Dar es salaam wakati akiendelea na matibabu katika
Paul Bonaventure (@phbhimself) 's Twitter Profile Photo

Hapa duniani kuna Imani nyingi sana, Kila mmoja anavutia kwake kwamba imani yake iko sahihi. Na hakuna hata mmoja anayekuja na maelezo sahihi kuhusu ukweli wa imani yake. Leo rafiki zangu ninapenda kuongelea sehemu fulani kuhusu dunia na maisha yetu sisi wanadamu kuoitia tafiti

Hapa duniani kuna Imani nyingi sana, Kila mmoja anavutia kwake kwamba imani yake iko sahihi.

Na hakuna hata mmoja anayekuja na maelezo sahihi kuhusu ukweli wa imani yake.

Leo rafiki zangu ninapenda kuongelea sehemu fulani kuhusu dunia na maisha yetu sisi wanadamu kuoitia tafiti
Paul Bonaventure (@phbhimself) 's Twitter Profile Photo

Je, Kuna watu walioumbwa kabla ya Adamu na Hawa? Leo, tunaanza safari ya tafakari ya kipekee, tukielekea kwenye ukurasa wa mwanzo wa Biblia, kitabu cha Mwanzo. Mahali ambapo hadithi ya mwanadamu inaanza, lakini pia mahali ambapo maswali mengi ya kina yanaibuka. Tukitafuta

Je, Kuna watu walioumbwa kabla ya Adamu na Hawa?

Leo, tunaanza safari ya tafakari ya kipekee, tukielekea kwenye ukurasa wa mwanzo wa Biblia, kitabu cha Mwanzo.

Mahali ambapo hadithi ya mwanadamu inaanza, lakini pia mahali ambapo maswali mengi ya kina yanaibuka.

Tukitafuta
Van Mersey (@van_mersey) 's Twitter Profile Photo

WAFAHAMU WALINZI HATARI WA π—žπ—œπ—  π—π—’π—‘π—š 𝗨𝗑 πŸ”₯ Hakika usithubutu kumsogelea kitakachokukuta usiseme hukuonywa ‡️🧡

WAFAHAMU WALINZI HATARI 
WA π—žπ—œπ—  π—π—’π—‘π—š 𝗨𝗑 πŸ”₯

Hakika usithubutu kumsogelea kitakachokukuta usiseme hukuonywa 

‡️🧡
Kaji (@kaji_sijo) 's Twitter Profile Photo

LEO NAKULETEA UTAJIRI NA TEKNOLOJIA YA AFRIKA KABLA YA UKOLONI (kwanini leo Africa ni masikini) . 01. BIBLIA YA KWANZA DUNIANI. Biblia ya Kiethiopia ndiyo biblia kongwe, Asili na kamilifu zaidi duniani. Imeandikwa katika Ge’ez lugha ya kale ya Ethiopia, ina umri wa karibu

LEO NAKULETEA UTAJIRI NA TEKNOLOJIA YA AFRIKA KABLA YA UKOLONI (kwanini leo Africa ni masikini)
.
01. BIBLIA YA KWANZA DUNIANI.

Biblia ya Kiethiopia ndiyo biblia kongwe, Asili na kamilifu zaidi duniani. 

Imeandikwa katika Ge’ez lugha ya kale ya Ethiopia, ina umri wa karibu
#NIPENI_MAUA_YANGUπŸ’ (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Nguvu iliyotumika jana Mbinga, ilitakiwa itumike kwa wale wanaotajwa kila mwaka kwenye report ya CAG dhidi ya ufisadi!! Anayewapambania mpate katiba mpya itakayowapa maisha bora ninyi, watoto na wajukuu zenu mnamtawanya kwa mabomu. Anayewaibia na kuwapa umasikini mnampigia

TheProtΓ©gΓ©TZ (@giboretz) 's Twitter Profile Photo

MAENEO HATARI ZAIDI AMBAYO BINADAMU WANAISHI Kutoka makazi yaliyopo juu ya ukanda sawa na kilele cha mt. Kilimanjaro hadi mji ambao jua linazama mwezi November halichomozi tena mpaka mwezi January. Haya ni maeneo 10 ya kutisha ambayo binadamu wanaishi🧡

MAENEO HATARI ZAIDI AMBAYO BINADAMU WANAISHI

Kutoka makazi yaliyopo juu ya ukanda sawa na kilele cha mt. Kilimanjaro hadi mji ambao jua linazama mwezi November halichomozi tena mpaka mwezi January. 

Haya ni maeneo 10 ya kutisha ambayo binadamu wanaishi🧡
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Naitwa Edger E Mwakabela maarufu kama SATIVA17. Kwa siku mbili tarehe 9 na 10 mwezi wa 4 mwaka 2025 nimekuwa na Lugha YA MATUSI dhidi ya Jeshi la polisi Police Force TZ Siandiki huu waraka kwaajili ya KUOMBA MSAMAHA, nataka niwape taarifa ambao wamenijua JUZI. Kwahiyo kama unahisi huu

Naitwa Edger E Mwakabela maarufu kama SATIVA17. Kwa siku mbili tarehe 9 na 10 mwezi wa 4 mwaka 2025 nimekuwa na Lugha YA MATUSI dhidi ya Jeshi la polisi <a href="/tanpol/">Police Force TZ</a> 

Siandiki huu waraka kwaajili ya KUOMBA MSAMAHA, nataka niwape taarifa ambao wamenijua JUZI.  Kwahiyo kama unahisi huu
Kaji (@kaji_sijo) 's Twitter Profile Photo

MFAHAMU Levi Strauss MUANZILISHI WA NGUO ZA JEANS HII LEO. - Wakati wenzie wakitafuta dhahabu kupata utajiri yeye alikuwa busy kushona nguo kuutafuta utajiri. Usiogope kufanya kile unacho kiamini as long as upo njia sahihi hata wakisema nini. - Anakumbukwa kwa msemo wake maarufu

MFAHAMU  Levi Strauss MUANZILISHI WA NGUO ZA JEANS HII LEO.
-
Wakati wenzie wakitafuta dhahabu kupata utajiri yeye alikuwa busy kushona nguo kuutafuta utajiri. Usiogope kufanya kile unacho kiamini as long as upo njia sahihi hata wakisema nini.
-
Anakumbukwa kwa msemo wake maarufu
π‹πšπ›πžπ₯π₯𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐒𝐚 (@labella_mafia95) 's Twitter Profile Photo

THREAD: 1. Anafungua website ya ngono. 2. Unafunga mlango kwa tahadhari. 3. Utafuta video za watu wanafanya tabia mbaya. 4. Unachambua ukurasa mmoja hadi mwingine kwa saa nzima. 5. Hatimaye unapata "ile" video bora. More:πŸ‘‡

THREAD:

1. Anafungua website ya ngono.

2. Unafunga mlango kwa tahadhari.

3. Utafuta video za watu wanafanya tabia mbaya.

4. Unachambua ukurasa mmoja hadi mwingine kwa saa nzima.

5. Hatimaye unapata "ile" video bora.

More:πŸ‘‡
Kaji (@kaji_sijo) 's Twitter Profile Photo

HIVI NDIVYO ALIKO DANGOTE ALIVYO KUWA TAJIRI. - Dangote ni tajiri wa pesa masiki wa mapenzi ameachika mara mbili na wake wa ndoa amedhalilishwa mara tatu na michepuko, leo acha nikujuze mchache. Dangote alianza biashara kwa mtaji wa shilingi million 7 za kitanzani ambazo alipewa

HIVI NDIVYO ALIKO DANGOTE ALIVYO KUWA TAJIRI.
-
Dangote ni tajiri wa pesa masiki wa mapenzi ameachika mara mbili na wake wa ndoa amedhalilishwa mara tatu na michepuko, leo acha nikujuze mchache.

Dangote alianza biashara kwa mtaji wa shilingi million 7 za kitanzani ambazo alipewa