Maktaba na Jamii 🇹🇿 (@maktabajamii) 's Twitter Profile
Maktaba na Jamii 🇹🇿

@maktabajamii

Zijue Maktaba(Library) za🇹🇿 na huduma zake. Tunahimiza matumizi ya Maktaba,upatikanaji wa Taarifa na kuhimiza tabia ya usomaji na Ukutubi

ID: 1217141107701747713

calendar_today14-01-2020 17:47:19

123 Tweet

119 Followers

25 Following

Maktaba na Jamii 🇹🇿 (@maktabajamii) 's Twitter Profile Photo

Sauti yake 🗣️ Ulinzi wake 🙅‍♀️ Elimu yake 🎓 Uhuru wake 🤸 Ni mwelekeo mzuri kwetu sote na kwa maendeleo yake. 🌍 Ni siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike #DayOfTheGirl  na tuhakikishe tunatengeza Kesho ya Binti nzuri kuliko Hapo nyuma kwa kumpa nafasi Asome #SikuyaBinti

Sauti yake  🗣️
Ulinzi wake 🙅‍♀️
Elimu yake 🎓
Uhuru wake 🤸
Ni mwelekeo mzuri kwetu sote na kwa maendeleo yake. 🌍

Ni siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike #DayOfTheGirl  na tuhakikishe tunatengeza Kesho ya Binti nzuri kuliko Hapo nyuma kwa kumpa nafasi Asome 
#SikuyaBinti
Maktaba na Jamii 🇹🇿 (@maktabajamii) 's Twitter Profile Photo

Kwenye siku hii ya #internationalwomensday tusherehekee Sauti za wanawake kwa kuangazia baadhi ya Vitabu vyenye ushawishi kuhusu wanawake, na vilivyoandikwa na wanawake #WomensHistoryMonth #IWD2021 instagram.com/p/CMKRnG3HVc5/…

Maktaba na Jamii 🇹🇿 (@maktabajamii) 's Twitter Profile Photo

Tunaungana na Watanzania Wenzetu kuomboleza Kifo cha Rais Wetu Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, Mungu atupe moyo wa Subira Katika kipindi hiki Kigumu. Amen

Tunaungana na Watanzania Wenzetu kuomboleza Kifo cha Rais Wetu Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli,  Mungu atupe moyo wa Subira Katika kipindi hiki Kigumu. Amen
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Nimemaliza ziara ya kikazi ya siku 3 Mkoani Mwanza. Nimefurahi kuona kazi zinaendelea katika ujenzi wa Daraja la JPM, reli ya kisasa (SGR) Mwanza-Isaka, meli ya MV Mwanza, kukamilika kwa chelezo na kushudia utiaji saini wa mikataba ya ujenzi na ukarabati wa meli nyingine 5.

Realising Education For Development (@read_tz) 's Twitter Profile Photo

A safe conducive environment can be a great tool for students to get motivated to read and expand their knowledge. Realising Education for Development in partnership with @wentworthfoundation launched a new fully equipped library at Chikoropola Secondary school, Masasi.

A safe conducive environment can be a great tool for students to get motivated to read and expand their knowledge. Realising Education for Development in partnership with @wentworthfoundation launched a new fully equipped library at Chikoropola Secondary school, Masasi.
Realising Education For Development (@read_tz) 's Twitter Profile Photo

We are excited for the 2021‐2024 strategic plan. This includes working with many more stakeholders in areas of inclusion, gender, community development and other fields in creating a conducive environment for students to learn and develop love for reading.

UNESCO MIL Alliance Youth (@milyouth) 's Twitter Profile Photo

The 2021 UNESCO Global Media and Information Literacy Week 2021 is here!!! Want to attend, register here and join us en.unesco.org/globalmilweek/… #GlobalMILWeek #MILYouth

The 2021 UNESCO Global Media and Information Literacy Week 2021 is here!!! Want to attend, register here and join us
 en.unesco.org/globalmilweek/…

#GlobalMILWeek #MILYouth
Young African Library Leaders Fellowship (@yallfellowship) 's Twitter Profile Photo

We are excited to announce that 15 Young Library Leaders across 9 African countries will be participating in Young African Library Leaders Fellowship 2021 Cohort! They are joining the next generation of library leaders that will shape the #FutureOfAfricanLibraries Congratulations! #YALLF2021

We are excited to announce that 15 Young Library Leaders across 9 African countries will be participating in <a href="/YALLFellowship/">Young African Library Leaders Fellowship</a> 2021 Cohort! 

They are joining the next generation of library leaders that will shape the #FutureOfAfricanLibraries 

Congratulations! #YALLF2021
Damilare Oyedele (@damoyedele) 's Twitter Profile Photo

I am excited about the progress my team Library Aid Africa and our partners are making in developing the next-generation library leaders that will shape the #FutureOfAfricanLibraries. Young African Library Leaders Fellowship #YALLF2021 1/2

Damilare Oyedele (@damoyedele) 's Twitter Profile Photo

We have 15 participants this year from 9 African countries. I'm excited to see the impact they'll make as they #LeadLibrariesForward. #YALLF2021 2/2

Library Aid Africa (@libraryaidafric) 's Twitter Profile Photo

We are excited to announce that 23 young library leaders across 9 African countries will be participating in Young African Library Leaders Fellowship 2022 Cohort! They are joining the next generation of library leaders that will shape the #FutureOfAfricanLibraries Congratulations! #YALLF2022

We are excited to announce that 23 young library leaders across 9 African countries will be participating in <a href="/YALLFellowship/">Young African Library Leaders Fellowship</a> 2022 Cohort!

They are joining the next generation of library leaders that will shape the #FutureOfAfricanLibraries

 Congratulations! #YALLF2022
Dr. Chris Cyrilo (@drcyrilo) 's Twitter Profile Photo

Katika Kaunti anayoishi huko Taiwan kuna Maktaba 46. Ni kaunti ndogo sana. Tunamwambia ktk Wilaya zote za Dsm, hakuna Maktaba za Wilaya. Nikiwa mdogo miaka ya 90s pale Muheza tulikuwa na Maktaba moja. Leo hakuna. 'Ni Taifa gani limewahi kujengwa na wananchi wasiojisomea'?

Katika Kaunti anayoishi huko Taiwan kuna Maktaba 46. Ni kaunti ndogo sana. Tunamwambia ktk Wilaya zote za Dsm, hakuna Maktaba za Wilaya. Nikiwa mdogo miaka ya 90s pale Muheza tulikuwa na Maktaba moja. Leo hakuna. 
'Ni Taifa gani limewahi kujengwa na wananchi wasiojisomea'?